Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

Mama chapa kazi sie watu wa bara usitusikilize sana, sie ni watu wa chuki, visasi na ubaguzi, wengi hawana sabb ya kukuchukia isipo kua chuki zao za kijinsia na udini . Huku kwetu ni chuki tupu hatuna mioyo ya kusamehe na kupuuzia mambo mengine, paka tuue ndo turidhike, kuna lijama lilikua linaua watu hata viongozi wa dini yake walishinda kulikemea, we piga kazi tunakuamini tu.
 
Safi Sana mama bora umewapasha.
 
Magufuli To Samia:
From Emperor Without Clothes To Empress Wtihout Shame!🐒🐒🐒
 
Anamaanisha watu wawe wazalendo utakuwa mzalendo kama serikali yako haina uzalendo!!??
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao....
Kwa kuweweseka huku, nadhani huyu nae alitokea kuleeeee walikomkuta Propesa Kabundi.
 
Na wewe kama wajipendekeza na kujikomba kama Betina.
 
na yeye ashinde mechi zake tuendelee kuwaza mengine kama kujistukia ndio mechi zake basi aendelee kushinda
 
Mbaka 2023 naona atasema mweyewe siendelei,maana inaonekana kama mboga ndogo sana haitoshi kumaliza ugali.
 
Yeye mwenyewe hana mapenzi na danganyika zaidi ya kule kwenye urojo......ndo maana kapiga pasu pesa ya uviko ikajenge himaya huko.
 
Akizungumza katika kikao maalum cha mawaziri na naibu mawaziri, Rais Samia Suluhu amesema kwamba Urais ni taasisi na sio mtu. Ameendelea na kueleza kwamba taasisi hii huja na mamlaka, miongozo na serikali mbalimbali.

Amesema kwamba kwa sababu mbalimbali mtu au watu fulani wanaweza wasimpende Rais anayeongoza, na hilo ni sawa, lakini ambacho hawapaswi kufanya ni kupuuza yanayotokana na Urais kwa sababu tu hawampendi Rais.

Pia amewataka watu kutokana na kwamba wana imani, na dini zinaufundisha kwamba mamlaka zinatoka kwa Mungu, basi waheshimu viongozi kwanza ikiwa ni kwa usalama na maendeleo ya nchi lakini pia kwa kumheshimu Mungu ambaye ndiye huwapa watu hao madaraka.

Amezungumza Mengi, lakini hili ndilo kubwa lililonivutia.
 
Huu ni Ukweli kabisa NAKAZIA CHUKI YA KIJINSIA NA UKABILA, ASICHOKIJUA MAMA BARA KUNA UBAGUZI WA KIJINGA SANA,VISASI NA CHUKI mfano mdogo ni hao mazumbukuku wanaoendelea kuchinja wazazi wao kila kukicha ila BORA AONGEE tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…