Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 855
- 2,264
Si kweli,hata yeye ana mchango mkubwa kwenye chuki hii inayolitafuna taifa .Bado hatujasahau kauli yake kuwa HATA MKIPIPIGIA KURA WALE WA VYAMA VINGINE,CCM INAENDA KUUNDA SERIKALI.Kauli hii ni nzito mno na yeye anajua kwanini alitamka hivyo hadharani.Ni rahisi kwake kusahau kwakuwa yuko mezani anakula keki ya taifa,lakini walioporwa ushindi ili ccm iunde serikali hawawezi kusahau.Halafu hizi Chuki zinatakiwa ziende kwa aliyempa nafasi ya Umakamu nashangaa watu hawalioni kama kweli Mama ni tatizo nadhani watu wanajua wakumlaumu.