Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

Kweli maisha yamekupiga! Usitafute mchawi umasikini wako ni akili zako na tafsiri zako. Mpaka anaye kutawala unamuona dhaifu.
Lofa katika kiwango chako uyu vs huyu! Hilo ni tatizo la kutoenda shule kabisa.
Huku sherehe kule sherehe jirani nae anapeta mchele je utakwenda wP msoni wa majalalNi?
 
Alivyokua anatoa siri za serikali ya Magufuli kwa wakina kigogo alidhani yeye atapendwa na kila mtu?
Akafie mbele huko
 
Hana uhalali WA kusema hayo kabla ajamwachia Mbowe! Angependa nchi yake angemwachia Mbowe!
 
Kweli maisha yamekupiga! Usitafute mchawi umasikini wako ni akili zako na tafsiri zako. Mpaka anaye kutawala unamuona dhaifu.
Lofa katika kiwango chako uyu vs huyu! Hilo ni tatizo la kutoenda shule kabisa.
We ni mwandishi mzuri sana wa taarabu ila pole maana kiswahilii wana fundisha wakenya uko njee ya nchi hauna msaada wowote kwangu.. certified fool
 
Mama wewe jenga nchi... watu wataipenda nchi yao wenyewe. Kimsingi uchague watu munao endana kiutendaji.
Nje ya hapo utakuwa mtu wa mipasho kila kukicha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…