Wakati watumishi hawalipwi stahiki zao hamkuumia kwasababu halijawagusa ,watumishi walipo sitishiwa nyongeza za mishahara na kuto panda madaraja hamkuumia, wastaafu kuto pewa stahiki zao hamkuumia , serikali kuto ajiri na kupelekea watumishi wachache waliopo kufanya kazi kama punda hamkuumia , halsmashauri zilishindwa kujiendesha na pesa zote zinakusanywa hazina wala hamkuumia , matajiri kubambikiwa keshi kubwa ili watoe pesa hamkuumia, wafanya biashara kunyang'anywa pesa zao na kufilisiwa accounts zao hamkuumia sababu hayo yote mliyasikia lakini kwa vile hayakugusa maslahi yenu mliyafurahia
Leo limekuja linanalo wagusa tena hela ndogo tu kwa mwezi kwa maslahi ya taifa ndio mnakuja juu na maneno lukuki.
ACHENI UBINAFSI.