KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Bora mmekuja wenye factsSamahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?
Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...
Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...
Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
Hapo nimeona kuna ukakasi na bahati mbaya wengi tunachangia kwa mihemko na siyo facts...Bora mmekuja wenye facts
Vitu vya namna hii ni nadra sana siku hizi kuvikuta JF.Samahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?
Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...
Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...
Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
China Civil wapo toka enzi za nyerere wao ndio walikuwa kwenye project ya Tazara iliyoanza late 1960's to 75.Duh! Hao CCECC ni hatari. Wameanza siku nyingi, nasikia. Godfather yupo Msoga.
Serikali ya huyu Bibi inachosha kabisa.Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets ni hizi:
Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?
Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.
Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.
Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.
Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.
Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.
MMM
Miradi mingi ya kampuni za serikali ya china huwa niza mikopo isiyokua na Riba na hapo ndio wachina wanapotuweza kwasababu moja hela hatuna, mradi tunautaka na mabepari na world bank hawapo tayari kufadhili mradi, hapo kinachobaki ni kusurrender kwa wachina na tutenda kwa masharti yao....Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets ni hizi:
Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?
Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.
Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.
Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.
Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.
Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.
MMM
jinga wewe kumbe, takataka. Hili ni jmbo la msingi wewe unaleta utoko hapa!Itakuwa Mbowe ameshalalamika Ikulu
Kwani Ikulu mliongea nini?jinga wewe kumbe, takataka. Hili ni jmbo la msingi wewe unaleta utoko hapa!
Mbowe ndio bwanaenu mnayemtamani Kila dakikaItakuwa Mbowe ameshalalamika Ikulu
Ili iweje?Kwani Ikulu mliongea nini?
Keshaolewa na CCMMbowe ndio bwanaenu mnayemtamani Kila dakika
Sawa kabisa, you are nextKeshaolewa na CCM
Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.[emoji17][emoji15][emoji17][emoji17][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets ni hizi:
Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?
Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.
Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.
Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.
Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.
Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.
MMM
Ninkwa sababu Mbowe na familia yake ni wazalendo sana tena wa grade one ambao walisaidiana na Nyerere kudai uhuru wa nhinyetu. Mbowe hawezi ona nchi inamumunywa na mchwa wa kuja akakaa kimya.Itakuwa Mbowe ameshalalamika Ikulu
Kama ni kweli Kwa nini Serikali inashiriki rushwa? Kwa nini mnakomaa na kampuni zisizo na uwezo?Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.
Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.
Baadhi ya tweets ni hizi:
Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?
Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.
Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.
Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.
Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.
Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.
MMM
Sidjani Kama wewe ni mtu mzuri,utakuwa form 4 leaver.Ujinga ni kama Viongozi wa Chadema hamjaiongelea.Ikulu