Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

Samahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?

Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...

Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...

Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
Bora mmekuja wenye facts
 
Bora mmekuja wenye facts
Hapo nimeona kuna ukakasi na bahati mbaya wengi tunachangia kwa mihemko na siyo facts...

Unamzungumzia mtu ambayo kwanza anamiezi 13+ kuhusika na kandarasi ya kampuni ambayo ipo kwenye utekelezaji zaidi ya miezi 16+ tena unanasibisha na cheo chake cha sasa!!!!
 
Kichwa cha Mada kinaanza na maneno haya : " Rais Samia, Kama Haya Huyajui...."

Kuna kitu gani kinachomfanya mleta mada hii kufikiri kwamba Waziri anafanya anayofanya, lakini bosi wake awe hana lolote alijualo?

Ina maana gani kuleta mada za namna hii. Huyo bosi yeye hawezi kuamru yafanyike hayo yanayofanywa na waziri?
 
Samahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?

Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...

Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...

Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
Vitu vya namna hii ni nadra sana siku hizi kuvikuta JF.
 
Duh! Hao CCECC ni hatari. Wameanza siku nyingi, nasikia. Godfather yupo Msoga.
China Civil wapo toka enzi za nyerere wao ndio walikuwa kwenye project ya Tazara iliyoanza late 1960's to 75.
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
Serikali ya huyu Bibi inachosha kabisa.
 
Miradi mingi ya kampuni za serikali ya china huwa niza mikopo isiyokua na Riba na hapo ndio wachina wanapotuweza kwasababu moja hela hatuna, mradi tunautaka na mabepari na world bank hawapo tayari kufadhili mradi, hapo kinachobaki ni kusurrender kwa wachina na tutenda kwa masharti yao....
 
Naona kuna mashindano ya chini chini kati ya Mwigulu na Makamba, wakati Mwigulu akijipigia huko kwa mchina na tender yake, Mqkamba anajipigia kule kwa $30milion za maintanance.

Hawa wote wana sifa moja kubwa, wote wanautaka Urais, sasa kama Samia akimshughulikia Mwigulu, basi lazima amshughulikie na Makamba pia.

Ila kama ataamua kumuacha mmoja, basi na awaache wote, taifa limekosa kiongozi, limepoteza muelekeo, kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake bila shida.
 
Yaan Taasisi ya URAIS ikae ianze kufuatilia POSTS za Muuza SHANGA?

Wabongo mna matatizo ya akili si kitoto.

Hakuna mtu mwenye taarifa nyingi nchi hii kushinda RAIS wa Nchi.
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.[emoji17][emoji15][emoji17][emoji17][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Itakuwa Mbowe ameshalalamika Ikulu
Ninkwa sababu Mbowe na familia yake ni wazalendo sana tena wa grade one ambao walisaidiana na Nyerere kudai uhuru wa nhinyetu. Mbowe hawezi ona nchi inamumunywa na mchwa wa kuja akakaa kimya.
 
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu.

Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa.

Baadhi ya tweets ni hizi:

Mnakumbuka niliwapa simulizi, wizara ya fedha wameingia makubaliano na China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (tenda bila ushindani) thamani ya Shs. 6.7 trilioni kwa utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ bila ushindani?

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alipewa ujenzi wa lot Na. 5, Isaka – Mwanza (249 km). Miezi 16 amejenga 4.4% pekee na HAKUNA hata kipande kimoja cha reli ameweka katika miezi 16. Mwigulu anasema bungeni kwamba haukuwepo ufadhili wa kifedha. Ni mzaha.

Utaratibu wa ‘single source’ ni LAZIMA mkandarasi awe amekidhi vigezo na uwezo. Huyu mkandarasi wa Mwigulu hana sifa hizo. Miezi 16 ameshindwa kupeleka hata ambulance, hakuna usala kwa wafanyakazi, na amefanya kazi kwa 4.4%. Mkandarasi huyu hajakidhi vigezo vya single source.

Ukumbi wa Msekwa imefanyika semina, wabunge wamelipwa Shs. 440,000 (Shs. 172.9M). Kuipitisha bajeti ya miundombinu (ujenzi wa lot Na. 6 ya Tabora - Kigoma (411km). Na gharama za ujenzi ni (Sh.11.1bn) kwa kila 1km. 411km mkandarasi atatumia Shs. 4.6T. Kapewa tender bila ushindani.

Kwa kuwa tenda hii ina matatizo na harufu mbaya ya rushwa, wabunge wamekusanywa ukumbi wa Msekwa na kupewa semina kuhusu jambo hilo na kisha nje ya utaratibu wa kawaida, wakalipwa Shs. 440,000 kwa kila Mbunge ambayo inafanya jumla kuwa Shs. 172.9M kwa wabunge 393.

Haya ni mambo yanafanyika gizani lakini wabunge wengine wenye nia nzuri na taifa letu wanatoka nje na kusema hi siyo sawa. Wapo waliopinga hoja hiyo. TAKUKURU, tunaomba jambo hili lichunguzwe, na wahusika wawajibishwe. Tusifanye rushwa kuwa ni kama DNA yetu.

MMM
Kama ni kweli Kwa nini Serikali inashiriki rushwa? Kwa nini mnakomaa na kampuni zisizo na uwezo?

Kama mna kampuni zenu ambazo najua kwenye kazi.zote za tenda huwa kuna rushwa basi mtoe tenda kwa kampuni ambazo zina uwezo sio magumashi..

Nafahamu Yapi Merkez ni kampuyya Sukuma gang nayo imepewa lot ya makutopora kwa single source lakini wao wanaonyesha progress sasa vipi hiyo kampuni yenu ya Kichina haioneshi progress na mnakomaa nayo?

Huu utaratibu wa chama kutafuta pesa za kampeni kwa kuibia wananchi kupitia miradi kuongezwa gharama au kutafuta kampuni za kijinga sio sawa..

Tanzania hii ukiwa mtu wa Chini ndio unaumia..

Nafuatilia hili nikikuta kuna ukweli basi ntajua cha kufanya,Rais anajua Sana ila wanamwambia wanatafuta pesa za kampeni 2025.
 
Yale Yale Ya Mlimani City Watu Wamekuja Masikini, Wameondoka Na Utajiri Tele
 
Back
Top Bottom