Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Safari bado ndefu, hivi kama mtu huna cha kuchangia ni kwanini unashindwa Kukaa kimya. Huu mjadala umeletwa hapa kwa maslai mapana ya sisi wananchi afu unaleta utani?Ujinga ni kama Viongozi wa Chadema hamjaiongelea.Ikulu
Kwani Chadema wameenda Ikulu kwa maslahi mafupi ya taifa?Safari bado ndefu, hivi kama mtu huna cha kuchangia ni kwanini unashindwa Kukaa kimya. Huu mjadala umeletwa hapa kwa maslai mapana ya sisi wananchi afu unaleta utani?
Mkuu, unaheshimika sana hapa jf na nadhani hata katika jamii yako. Unataka kusema hoja za msingi za maendeleo ya nchi, na hasa kama kuna jambo haliendi inavyopaswa, ni jukumu la viongozi wa upinzani (CHADEMA) pekee, kuzi address kwa Rais?? Hawa ni whistle blowers, ni kazi yetu kama nchi kuzifanyia kazi taarifa zao.Ujinga ni kama Viongozi wa Chadema hamjaiongelea.Ikulu
MMM ni mtu wa karibu sana wa Mbowe!Mkuu, unaheshimika sana hapa jf na nadhani hata katika jamii yako. Unataka kusema hoja za msingi za maendeleo ya nchi, na hasa kama kuna jambo haliendi inavyopaswa, ni jukumu la viongozi wa upinzani (CHADEMA) pekee, kuzi address kwa Rais?? Hawa ni whistle blowers, ni kazi yetu kama nchi kuzifanyia kazi taarifa zao.
Mkuu johnthebaptist usipeleke kila jambo kisiasa.
Mkuu nafikiri sasa ni muda muafaka wa kuwapuuza watu wa hovyo kama huyo. Kwanzia sasa akipandisha uzi hapa Jf tunapiga kimya pia akichangia hakuna kureplay wala niniMkuu, unaheshimika sana hapa jf na nadhani hata katika jamii yako. Unataka kusema hoja za msingi za maendeleo ya nchi, na hasa kama kuna jambo haliendi inavyopaswa, ni jukumu la viongozi wa upinzani (CHADEMA) pekee, kuzi address kwa Rais?? Hawa ni whistle blowers, ni kazi yetu kama nchi kuzifanyia kazi taarifa zao.
Mkuu johnthebaptist usipeleke kila jambo kisiasa.
Kabisa unemuuliza swali zuri sana hawa Vijana tumewasaidia kupush push ajenda kadhaa maeneo mbali mbali ila hawajitambui sana Kama tulivyodhani, ni watu wa majungu tu na kukurupuka kuandika tuSamahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?
Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...
Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...
Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
Hapa umeonyesha upambavu mkuuItakuwa Mbowe ameshalalamika Ikulu
Na mimi nasubiri wajuvi watufumbue macho hapa, kuna mtu atasulubiwa mioyoni mwetu, haijalishi ni nani, hai au mfu!Bora mmekuja wenye facts
Wewe ndio mbwiga!Hapa umeonyesha upambavu mkuu
Hoja kubwa ya kitaifa unajibu kijinga, si lazima uchangie kila mada
Najua unawezo mzuri Sana, ila kwa leo naona huushirikishi vizuri akili yakoWewe ndio mbwiga!