Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

Ujinga ni kama Viongozi wa Chadema hamjaiongelea.Ikulu
Safari bado ndefu, hivi kama mtu huna cha kuchangia ni kwanini unashindwa Kukaa kimya. Huu mjadala umeletwa hapa kwa maslai mapana ya sisi wananchi afu unaleta utani?
 
Kwani Chadema wameenda Ikulu kwa maslahi mafupi ya taifa?
 
Ujinga ni kama Viongozi wa Chadema hamjaiongelea.Ikulu
Mkuu, unaheshimika sana hapa jf na nadhani hata katika jamii yako. Unataka kusema hoja za msingi za maendeleo ya nchi, na hasa kama kuna jambo haliendi inavyopaswa, ni jukumu la viongozi wa upinzani (CHADEMA) pekee, kuzi address kwa Rais?? Hawa ni whistle blowers, ni kazi yetu kama nchi kuzifanyia kazi taarifa zao.

Mkuu johnthebaptist usipeleke kila jambo kisiasa.
 
MMM ni mtu wa karibu sana wa Mbowe!
 
Mkuu nafikiri sasa ni muda muafaka wa kuwapuuza watu wa hovyo kama huyo. Kwanzia sasa akipandisha uzi hapa Jf tunapiga kimya pia akichangia hakuna kureplay wala nini
 
Yan watumie tweet kufanya maamuzi kumuondoa mtu uwaziri?

Kuna Muda vijana mna jichanganya!

Umuhimu wa Tume zinazohusika Uko wapi?

Nawaambia Vijana waza Kwa makini sana kabla ya kuandika

Britanicca
 
Samahani naomba kufahamishwa Mwigulu aliingia Madarakani kama Waziri baada ya kuapishwa Samia Suluhu Hassan 19.03.2021... hoja ya Mwigulu kuhusika na tender ya Kampuni yenye miezi 16 kazini imekaaje?

Mpaka sasa Samia ana miezi 14 Ikulu na siku kama 2 hivi... Hii ya kunasibishwa Mwigulu na Samia kwa tender ya kampuni yenye 16 kazini maana yake ilingia kazini January 2021...

Wakati huu Waziri wa fedha ni Makamu wa Rais na Hayati Magufuli akiwa Rais...

Hebu FAFANUENI WANAJAMVI TUELEWE
Kabisa unemuuliza swali zuri sana hawa Vijana tumewasaidia kupush push ajenda kadhaa maeneo mbali mbali ila hawajitambui sana Kama tulivyodhani, ni watu wa majungu tu na kukurupuka kuandika tu
 
Back
Top Bottom