Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Mkuu umeongea kwa ufasaha sana; nakuunga mkono.
 
Hapa kwangu mabweni manne makubwa na ya kisasa yote ya wasichana! Bweni moja tu la wavulana na wavulana wamewekwa 20 tu kati ya vyumba mia moja ambavyo vyote ni tupu!

Mabweni ya wasichana yamejaa wasichana zaidi ya mia na hamsini, ukiuliza why wavulana wanaendelea kutokea day (nyumbani) unaambiwa bajeti ya chakula haitoshi!! SHUBAMIIITTT!!!
 
Wakati wanaume wanapendelewa Taifa halikuangamia ila litaangamia baada ya wanawake kupewa kilicho Chao? 🤪🤪
 
Hamna kitu hapo, Hata siku moja Mwanamke hatakuja kuwa juu ya mwanaume NEVER EVER.

Pambana Acha kulialia. Mwanamke Hata awe na PHD 20 atabaki mwanamke tu akitaka Mwongozo wa kijana wa darasa la saba.

Maandiko matakatifu yashamaliza Kila kitu and you can't change the nature
 
Kimsingi nakubaliana na tahadhari uliyotoa.

Naomba utuwekee huo waraka ili tudadavue vizuri
 
Huu ni ubaguzi mkubwa sana. Sasa utashangaa wanaharakati wa haki za wanawake akina Yoda wanashangilia ubaguzi huu. Hii misaada ya wazungu imewaharibu vichwa.
 
Sasa upendeleo wa nini kwenye elimu wakati wanataka haki sawa! Siyo sawa kabisa kwanza ni kulemaza mtoto wa kike mbona zamani huo ujinga haukuwepo na tulifaulu! Hata hivyo viti maalum vya wabunge inafaa vifutwe.
 
Wakati wanaume wanapendelewa Taifa halikuangamia ila litaangamia baada ya wanawake kupewa kilicho Chao? 🤪🤪
Wanaume walipendelewa lini na kivipi na hao wanawake wanapewa kilicho chao kipi?
 
Sasa upendeleo wa nini kwenye elimu wakati wanataka haki sawa! Siyo sawa kabisa kwanza ni kulemaza mtoto wa kike mbona zamani huo ujinga haukuwepo na tulifaulu! Hata hivyo viti maalum vya wabunge inafaa vifutwe.
Kweli kabisa wanawalemaza na sasa watakuwa hawajitumi bali watasubiri kubebwa tu kama mizigo.
 
Viti maalum ni sera potufu kwa sababu ubunge duniani kote katika nchi makini ni lazima uchaguliwe na raia, hakuna ubunge wa kupewa tu kama hapa kwetu.
Unasema sahihi yaani hata UK wabunge wanawake ni 20% tu ndo wamechaguliwa na wananchi ndo taifa lililoendelea- eti leo Tz tunawachukua Nusrati toka gerezani na kwenda kuwaapisha kuwa wabunge? Tz tumelogwa?
 
Kwa sababu ya upendeleo huu maskini wanazidi kuongezeka kila siku na machawa na mashoga yamezaliwa kwa kasi ya 4G.
 
Wanaume walipendelewa lini na kivipi na hao wanawake wanapewa kilicho chao kipi?
Kwani wanawake walikuwa wanapelekwa shule? Si mlikuwa mnawaoza? Ni Hadi Serikalini ilipowakomalia ndio walau wakaanza kusoma na Sasa wanapewa Chao.
 
Halafu huu upendeleo baada ya muda mrefu ji janga! Nimekaa Denmark - yaani wanaume ni wanyonge hadi wanatia huruma kwa ajili ya haya mambo ya upendeleo na usawa wa wnawake !

Hata nguvu mwanamme kupata kuwapa mimba wanawake ni taabu to maanae amekuwa tayari kisaikologia ameshaadhirika! Ni majanga hata hapa nasema hili ni swala la mda tu tutajuta! Mama zangu mimi walikuwa watatu na mimi kwa mke mdogo ni mtoto wa 10 je utasema mama na baba hawakupendana?

Halafu basi uzazi wa sisi mama mkubwa ndo alikuwa anamtunza mama yangu na watoto wote tunapendana sana hadi leo
 
Kwani wanawake walikuwa wanapelekwa shule? Si mlikuwa mnawaoza? Ni Hadi Serikalini ilipowakomalia ndio walau wakaanza kusoma na Sasa wanapewa Chao.
Wanawake wapi na walianza kuozwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…