Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Wewe unavyoona hali ya ustawi wa jamii miaka ya uhuru na sasa ni sawa?! Hebu tumia akili kidogo au ndio wale madogo wa kuzaliwa 2000 unabishana na watu tulioshuhudia babu akiwa na nguvu zake.
Toa upumbavu wako nani aliyesema ustawi ni sawa? Huo huo ustawi ukiokuwa unawakandamiza wanawake ndio wanapata Sasa hivi Hadi itimie 50/50 na Bado mtalia sana.
 
Kwani wanawake walikuwa wanapelekwa shule? Si mlikuwa mnawaoza? Ni Hadi Serikalini ilipowakomalia ndio walau wakaanza kusoma na Sasa wanapewa Chao.
Na sasa hawaozwi ila wapigwa miti wanapata watoto bila ndoa tena kwa wingi. Hao ambao wameolewa ulishawatafuta ukaona hali zao then ufananishe na hawa ambao hadi anafika miaka 35 ana watoto baba tofauti ila hajielewi na malezi yake kwa watoto ni questionable?
 
Wewe unavyoona hali ya ustawi wa jamii miaka ya uhuru na sasa ni sawa?! Hebu tumia akili kidogo au ndio wale madogo wa kuzaliwa 2000 unabishana na watu tulioshuhudia babu akiwa na nguvu zake.
Suala la walimu liondoe kabisa hapa, usilichanganye. Huo ni mjadala mwingine kabisa. Walimu walitakiwa wachaguliwe kutoka daraja la 1 na la 2 tu. Mwanaume iwe division 1, mwanamke iwe kuanzia division 2.
 
Nikujulishe tu kuwa si tu kwamba nimefika University bali hadi nilipitiliza. Nashukuru kwa ufafanuzi nimekuelewa na hata mimi nimetia comment nyingine inayoendana na haya maelezo Yako. In short male gender is the privileged and special group in any society. Over.
 
Ukitafiti au ukifuatilia utakutana na haya juu ya watendaji wa kike maofisini.

1. Wengi ndio chanzo cha kuongezeka rushwa katika ofisi za serikali tofauti na miaka ya nyuma sababu ni rahisi sana wakishafundishwa namna ya kuiba au kuomba rushwa wanatengeneza addiction nayo.

2. Recently bajeti za mawizara zimekuwa juu sana na hii ni kutokana na ongezeko la watendaji wa kike. Wanawake katika hizi ofisi za serikali wanaongoza sana katika kurequest matumizi yasiyo ya lazima mfano kusafiri kwa ndege, gari binafsi sehemu ambapo angeweza kwenda hata kwa basi, sherehe, posho, na kadhalika, hivi vitu vimezidi kuongezeka na hivyo kuongeza mzigo mkubwa serikalini eneo la bajeti.

3. Ufanisi serikalini umepungua sana. Haya ni matokeo ya watendaji wa kike kuongezeka na matokeo yake kupungua kwa muda wa kufanya kazi na hata uwezo wenyewe wa kufanya kazi. Sababu ni wengi kuwa na sifa chini ya uwezo walio nao mfano matokeo makubwa ya chuo lakini weledi hakuna, mood swings, beef kati ya wanawake humo maofisini, maternity leave, siku za mwezi ambazo hufika hata siku 5, mahusiano kati ya wafanyakazi na mabosi zao jambo ambalo hushusha ufanisi.

4. Wanawake hupenda kulipwa zaidi kwa kazi ndoto au kwa kutofanya lolote. Matokeo yake hii imejenga tabia ya kudai masilahi zaidi kutoka kwa mabosi zao na pesa kutolewa nje ya utaratibu ndio maana miradi ya serikali inazidi kukwama siku hadi siku tofauti na zamani ambapo kulikuwa na wanawake makini kazini sio hawa wa haki sawa wa siku hizi ambao wapo entitled kulipwa hata kwa wasichofanya.

5. Wanawake hufanya kazi za kutumia akili na hata nguvu masaa machache tofauti na wanaume sababu ya udhaifu wa kibailojia. Mwanamke muweke chumba kisicho na AC namna atamhudumia mteja wa kwanza itakuwa tofauti sana na namna atahudumia mteja wa 10. Sababu wao mazingira tu yanaweza cheza na hisia zao na kuwafanya wabadilike tofauti na wanaume ambao huchukulia mazingira magumu sehemu ya motivation ya kuongeza nguvu na kuchakalika.
 
Mkuu tumefika mahali pabaya sana. Ipo siku wanaume wataanza kunyanganywa mali na kupewa wanawake ilmradi tu kutafuta usawa kwa njia zozote, hata za haramu. Nchi inaendeshwa kwa misingi ya kijuha na mijitu imekaa kimya. Tutaangamia sote kwa pamoja!
Hapana huko hatuwezi kufika.
 
Na hapa ndipo watu wanafeli. Mzugu sio mwafrika. Kuna vitu mzungu anapatia ila sio vyote hawezi kuwa sahihi 24/7.
 
Hakuna mtu yeyote analazimishwa kuwa chochote na serikali. Serikali inachofanya ni kuondoa au kusahihisha vikiwazo vya kimfumo "systematic" kwa wale wanaotaka kuwa engineer, Doctor, au chochote. Nyie local Andrew Tates mna hoja zilizo mufilisi sana.
Mkuu sio systematic bali ni systemic ✅ . Naona hili jambo umelishupalia sana utadhani hiyo systemic problem ina affect Tanzania pekee hapa duniani. Mbona nchi nyingine zinazojitambua kama Kenya, Rwanda na Uganda hawafanyi ujinga huu? Kwanini ufanyike Tanzania tu au kwa kuwa nchi inaongozwa na mwanamke sasa imekuwa nongwa?
 
Kwanza wewe ni mpuuzi Sana na una dharau Kwa Wanawake..

Kwa Sasa kuanzia Sekondari Hadi vyuo Vikuu wadada ndio wanaingiza,Sasa umeona unazidiwa unakuja kutukana Wanawake huku.
 
Hii mifano hairandani na hoja iliyopo kwenye mjadala. Mfano mzuri ni tuwe kwenye riadha ambayo washiriki wameomba kwa ridhaa yao kuingia.

Halafu waanze kulia lia kuwa wanataka baruti ikilia wao waruhusiwe kukimbia mita kadhaa ndipo hawa wengine waruhusiwe. Sasa hapo mlikuja kufanya nini?!
 
Kwa mfano msikilize mbunge huyu hadi mwisho, Je anatoa suluhisho gani kwa hayo aliyozungumza.
Je suluhu anazorukia ni sahihi? Naaza kufikiria labda akina mama wawajibike kama zamani
 
Yet bado wanaofaidika na hii kitu ni mabinti wanaotokea familia zenye uwezo wa kuajiri House Girl, na hawana hayo majukumu umesema.

Mabinti wanaotokea hizo familia za kipato cha chini wengi huwa wanafeli masomo na kushindwa kuendelea

Upande mwingine kuna watoto wa kiume wanaishi mazingira magumu sana kutumwa tumwa makazi ya kuwakeep busy na majukumu kibao. Ila boy child kazaliwa na spirit ya kijeshi huwa wanakaza na wanatoboa na hata division 2 or 3. Sasa huoni hii ni mbaya sana na ni uonevu.
 
Utafauti huwa unakuja katika kuwachagua kwenda shule au vyuo, hapo ndipo watasema mwenye III kati ya jinsia mbili mwanamke atapewa kipaumbele, mwenye III kati ya mlemavu, albino na mtu asiye mlemavu hao walemavu ndio wanapewa kipaumbele.
Kumbe jinsia ya kike ni sawa na ulemavu? Aisee, hapa sasa unazidi kuwadhalilisha wanawake wenzako, punguza mihemko!
 
Umekapatia real experience, kalikuwa kanaleta story za janja ya nyani kula mahindi ya mwenye shamba hapa
 
Hili siyo jambo baya. Hata mimi naunga mkono. Nia hasa ni kurekebisha pengo la elimu lililopo kati ya wasichana na wanaume. Miaka ijayo pengo likipungua basi wanaweza kurudisha utaratibu wa sasa.
Kuna makosa yanaweza fanyika kwa miaka 20 tu ila hasara yake ikasumbua kwa miaka 100 na ikachukua miaka 200 kujijenga upya kurudi ubora ule wa miaka 20 iliyoanza uharibifu.
 
Safi sana Hana zero kajitahidi mbona ni imeanza zamani
Na wewe una amini hakuna zero kweli, hivi unajua kuna watu. Wamekwenda form one hawajui kuandika na kusoma vema, kuhesabu shida lugha ya Malkia ndio zero kabisa. Umeshawahi jiuliza wamepitaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…