GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ongea yake tu kama Umesoma na Kubobea vyema katika Saikolojia utagundua kuwa hakuna Mtu na hana akijuacho na anachokiweza.
Waziri muda wote akiwa katika Podium Yeye Kazi yake ni kuwa tu Sycophant ( Flaterrer ) kwa Rais Samia na si kusema Mikakati ya Wizara unategemea kweli akuletee Tija / Ufanisi wa Kiutendaji?
Rais Samia una nini na huyu Incompetent Minister Pindi Chana kiasi kwamba Unaogopa Kuachana nae kabisa na badala yake unamhamisha hamisha tu kama Bakuli za Mboga za Wateja Hotelini?
Kama kuna Waziri ambaye sijawahi Kuona alichokifanya katika Docket yake basi ni huyu Pindi Chana.
Tafadhali Waziri Pindi Chana unaonekana una Mganga wa Kienyeji mzuri mno ndiyo maana Hutumbuliwi na upo kila Mabadiliko yakitokea hivyo tunakuomba utuunganishe haraka nae ( huyo Mganga wako wa Kienyeji Hatari ) ili tumuombe aisaidie Timu yetu ya Tanzania ( Taifa Stars ) iweze Kushinda Mechi yake Ngumu na Algeria tardhe 7 Septemba, 2023 nchini Algeria ili tuweze Kufuzu Michuano ya AFCON ya Msimu ujao sawa?