Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

Kamaliza.
Nitajifunza kunyamaza.
 
Ndo ashawakaripia hapo......

Rais anapaswa kutenda in responding ya taarifa za uhakika anazopewa.

Unawaambia kasimamieni...... wakati huo inabidi wakae vikao kisha wanakuja na tamko la bei elekezi halafu wanapiga maigizo machache unaona job done

Rais anapaswa kuwa na msimamo
 
Sukari ipo madukani na bei ni ya kawaida,sehemu nyingi haizidi 2700.
 
Rais una Kila aina ya idara chini yako, fanya uchunguzi bainisha hao wapuuzi uchukue hatua, ushaona wapi watenda maovu wanabembelezwa eti waache

Ila Samia bana
Mtu mzima hafokewi.

Hata angefoka ama kuongea kwa ukali bado kanuni ya demand, supply and price ipo pale pale.

Kumbuka uhaba wa simenti enzi za jiwe. Pamoja na ukali wa yule jamaa haikusaidia kitu kwenye uhaba na bei ya simenti.

Tatizo Watz ni wasahaulifu sana.
 
Rais dhaifu kuliko wote duniani.
Kama kuna mtu anabisha anitajie aliyeachia nafasi baada ya kuwaomba mafisadi waliotajwa na CAG. Maana huyu Rais aliwaomba wampishe
 
Rais una Kila aina ya idara chini yako, fanya uchunguzi bainisha hao wapuuzi uchukue hatua, ushaona wapi watenda maovu wanabembelezwa eti waache

Ila Samia bana
Kuwa na Rais mwanamke kunahitaji uvumilivu mnoo wapendwa ndy maana waisilamu hawataki kuongozwa na wanawake kwenye nyumba zap za ibada

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…