Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

Kwa kauli za namna hiyo ndio maana watu wanaendelea kufanya wanavyo taka wao, yani washenzi wanao hangaisha Watanzania ana warembea kabisa namna hiyo heeeeeee 🤔🤔 bibi yenu uongozi umemshinda na kila siku anazidi kuthibitisha hilo
 
Yaani kwa lugha ma sauti laini hivi ndo watu waache wizi wa fedha za uma
 
Back
Top Bottom