Asante mkuu, kwenye maisha yangu, nimeamishwa kufanya mabaya ni dhambi na kushindwa kuiona pepoNawaza nipate laki tatu kwa mwaka nilaze m20 kuna mpuuzi anawaza kukimbia nchi bro ukitaka kufanikiwa fasta ndan ya nch hy lima bang gunia moja m1 heka inatoa gunia 40 broo nimekuibia sir hakuna uchw matajir weng wanafanya biashara haramu we bweteka kwa uoga ufe maskin ukikamatwa shaul yako
Jamaa Yuko Tayari kwenda kuwa specimen ya new military strategy in warzone kwa sababu ya mshaara wa 4m.Nendeni mpelekwe Gaza kama jeshi la kukodi mkateketee halafu ndugu zenu waje humu kutufanyia fuji
Nyoko wewe ....ukifa gaza underground utaenda kugegeda ma bikra 70+ jehenamuTatizo utakufa vipi? Ukifa ukiwa muislamu mwenye kufanya ibada hapo sawa. Ukifa nje ya uislam hapo ndio shida
Haya pia ni mawazo yako, ni lazima kutofautiana, yaani ulitaka niandike unavyotaka wewe? Hii siyo haki mkuu, sielewi pia kimekuleta nini kwenye uzi wa kipuuziHeading ya kipuuzi ungeweka msimamo wako bila kuhusisha wasiotoa misimamo yao.
Hapo umeweka mawazo yako af unamtaja samia kama vile kasema kitu.
Huu ni upuuzi.
Thread za hivi zina mislead viewers.
Kwa hiyo unamwomba rais akupeleke israel?Haya pia ni mawazo yako, ni lazima kutofautiana, yaani ulitaka niandike unavyotaka wewe? Hii siyo haki mkuu, sielewi pia kimekuleta nini kwenye uzi wa kipuuzi
Brave man my sincere wellwishes to you in your next move in this life.Siyo wote twende, wanaotakiwa kwenda ni wasiowaoga
Do you think forced idleness inahitaji siasa na sera zaid kuliko action?. Waache vijana wakasake yanayowezekana Leo na kesho. Hili la mabdiliko ya kweli kisiasa intkiwa liwe ngaz ya chama kwenye makaratas na maelezo, sio la Leo Wala keshoMkuu 'Nsanzagee', mimi sikulaumu wewe kwa maoni yako uliyo wasilisha kwenye mada yako; pamoja na kwamba msingi wa mada hiyo sikubaliani nao.
Ninachokubaliana nawe ni maoni kama hili uliloliweka katika mstari nilionukuu hapo juu.
Sasa naomba nikuulize swali: wewe unadhani "tutajikomboa" lini, na kwa njia zipi? Kwenda kwako kufanya kazi Israel kwa muda na kupata utakachopata huko, inawezekana ikawa nafuu kidogo kwako kwa muda, lakini utakaporudi hapa utaikuta hali ni hiyo hiyo kama ulivyo iacha kama hatutachukua hatua zaidi ya hizi tunazofanya sasa za kutegemea kuwapeleka nguvu kazi wetu huko nje.
Hivi Israel kuna kipi hasa cha ziada tusichoweza kuwa nacho sisi hapa?
Ardhi nzuri sana tunayo. Maji yapo chungu nzima.
Ni nini hasa kinachokosekana hadi kilimo chetu kisiwe na manufaa kuweza kutusaidia kama kinavyo wasaidia hao Israel?
Naona hapo juu tayari uazungumzia ukosefu wa mitaji ya kuwekeza; na pengine utaalam wa kilimo kama walivyo vavyo Israel.
Kwa nini sis tusiwe navyo hivi? Tuna chuo kikuu cha Sokoine, na vyuo mbalimbali nchini, na kila mwaka watu wanahitimu huko. Hiyo elimu ya kilimo ya Israel wao wanaipata wapi?
Ngoja nimalize: Mazao yanayozalishwa kwa mazingira kama yalivyo Israel, yasingeweza kamwe kushindana na mazao yetu katika soko; kwa sababu mazao yetu yangekuwa na bei nafuu zaidi ya hiyo wanayouzia Israel
Kwa hiyo, sikulalamikii wewe katika msimamo wako wa kutaka kwenda kuwa kibarua. Ninawalalamikia hao wanaokunyima fursa ili usijitoe kwenda kuwa manamba. Na ninakuomba hili ulifikiri vizuri hata wakati ukiwa huko Israel.
Niny jamaa mmemezeshwa wimbo mbaya sana wa katiba mpya πππBadala ya kumuomba Rais aharakishe zoezi la Upatikanaji wa Katiba Mpya pamoja na kurekebisha sheria zote za nchi hii ili kuweka Mazingira mazuri na wezeshi ya watu kuweza kujiajiri wao wenyewe au kuajiriwa kwa urahisi hapa hapa nchini, wewe unaomba kupelekwa utumwani Israel.!! Akili mbovu za namna hii zitaondoka lini kwa vijana wa Tz???? Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo imeendelea kwa bahati mbaya.
Mapinduzi ya Fikra yanahitajika sana kwa Watanzania ili tutoke hapa tulipokwama.
Itafute Tena mkuu utupasie sie Bora nikafe Gaza nikiwa napambania malengo yangu kuliko kufa Tanzania na njaa Kali na likaratasi la degree kwenye trankaSio Kila kitu umwombe rais, tafuta passport, nenda ubalozi wa Israel au wasiliana nao ubalozi wa Israel nchini Kenya , ukatafute maisha. Nilikuwa na namba yao ya WhatsApp bahati mbaya nimepoteza wako sharp kujibu sms.
Usiwe muoga wa kifo mkuu, dunia hii ilishachukua mabilioni ya watu, kufa ni sehemu ya maisha ya mwanadamuHaya bwana mkifika huko muungane nao kuwasaidia vitani, ila Hamas wakifanya yao wasije ndugu zenu kulialia humu.
God bless Hamas
God bless Palestinian
πππUsiwe muoga wa kifo mkuu, dunia hii ilishachukua mabilioni ya watu, kufa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu