residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Tena anaenda kupata "mabirika" 72 kwa mujibu wao.Mkuu, usiogapage sana kufa! Kufa nayo ni moja ya kwenda kwa mola wako
Usikute labda unachuki tu za kidini ndiyo maana
Hizo ajira, walikuwa wakifanya Waparestina, fahamu hilo mkuu
Ningelikuwa rais, kwa ukulima wa wayahudi ningewamilikisha mashamba makubwa na kuwapa kabisa ardhi kama masetler ili ajira hizo tuzifanyie hapa hapa Tanzania na taifa lipate kodi zake za kiajira, upo uwezekano wa kuanzisha mashamba makubwa Tanzania na tatizo la ajira likaisha kwa 100%.
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo
Mkuu 'Nsanzagee', mimi sikulaumu wewe kwa maoni yako uliyo wasilisha kwenye mada yako; pamoja na kwamba msingi wa mada hiyo sikubaliani nao.
Ninachokubaliana nawe ni maoni kama hili uliloliweka katika mstari nilionukuu hapo juu.
Sasa naomba nikuulize swali: wewe unadhani "tutajikomboa" lini, na kwa njia zipi? Kwenda kwako kufanya kazi Israel kwa muda na kupata utakachopata huko, inawezekana ikawa nafuu kidogo kwako kwa muda, lakini utakaporudi hapa utaikuta hali ni hiyo hiyo kama ulivyo iacha kama hatutachukua hatua zaidi ya hizi tunazofanya sasa za kutegemea kuwapeleka nguvu kazi wetu huko nje.
Hivi Israel kuna kipi hasa cha ziada tusichoweza kuwa nacho sisi hapa?
Ardhi nzuri sana tunayo. Maji yapo chungu nzima.
Ni nini hasa kinachokosekana hadi kilimo chetu kisiwe na manufaa kuweza kutusaidia kama kinavyo wasaidia hao Israel?
Naona hapo juu tayari uazungumzia ukosefu wa mitaji ya kuwekeza; na pengine utaalam wa kilimo kama walivyo vavyo Israel.
Kwa nini sis tusiwe navyo hivi? Tuna chuo kikuu cha Sokoine, na vyuo mbalimbali nchini, na kila mwaka watu wanahitimu huko. Hiyo elimu ya kilimo ya Israel wao wanaipata wapi?
Ngoja nimalize: Mazao yanayozalishwa kwa mazingira kama yalivyo Israel, yasingeweza kamwe kushindana na mazao yetu katika soko; kwa sababu mazao yetu yangekuwa na bei nafuu zaidi ya hiyo wanayouzia Israel
Kwa hiyo, sikulalamikii wewe katika msimamo wako wa kutaka kwenda kuwa kibarua. Ninawalalamikia hao wanaokunyima fursa ili usijitoe kwenda kuwa manamba. Na ninakuomba hili ulifikiri vizuri hata wakati ukiwa huko Israel.
kila mmoja anavyoamini ila kauli yangu ni hy ukiona kitu kinasifiwa sana hasa kwenye maisha ya mafanikio jua kuna tatizo kwa undani na ukiona kitu kinapigwa vita sana jua hapo pana jambo jema sema nn watu mmefungwa akili ili wanufaike wachache na kweli wananufaikaAsante mkuu, kwenye maisha yangu, nimeamishwa kufanya mabaya ni dhambi na kushindwa kuiona pepo
Staki biashara haramu, naamini uwezo alionipa Mungu nitatoboa tu
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo
Uishi milele mkuuMkuu Kalamu:
Nakubalina na hoja yako kwa sehemu kubwa, tatizo uliloanishi si kwa Tanzania tu, bali nchi nyingi za Kiafrika....unajua umaskini wa Malawi? Unajua tatizo la ajira Kenya.....
Kwa kifupi umeuliza Israeli imetuzidi nini hasa....? Jibu ni akili.....
Hebu angalia statistics....
Israel's high technology sector is the linchpin to its economy. The high-tech sector has witnessed the highest and fastest growth among all industries in the past decade. In 2022, the high-tech sector accounted for 18.1% of Israel's GDP and for 48.3% of Israel's total exports.Nov 3, 2023
The economy of Israel is a highly developed free-market economy.[22][23][24][25][26] The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon Valley.[22] It has the second-largest number of startup companies in the world after the United States,[27][needs update] and the third-largest number of NASDAQ-listed companies after the U.S. and China.[28] American companies, such as Intel,[29] Microsoft,[30] and Apple,[31][32] built their first overseas research and development facilities in Israel. More than 400 high-tech multi-national corporations, such as IBM, Google, Hewlett-Packard, Cisco Systems, Facebook and Motorola have opened R&D centers throughout the country.[33]
Sasa Mkuu Kalamu unaweza kujilinganisha na watu kama hawa? Kwenda kuvuna maparachichi...kupewa nyumba na umeme bure unaweza kupata $ 1,500 kwa mwezi.....Linganisha na mtu aliyesaka ajira miaka mitano Tanzania bila kuambulia chochote......Hicho ndicho kinachosukuma watu Kenya na Malawi....Hata Ufilipino na Thailand.....Kama hali haitabadilika Tanzania....Viongozi wetu kutobasili mwelekeo, utaona vijana wakijazana kwenye ubalozi wa Israel.
๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ Tanzania haifanyi biashara ya kuuza Manamba.
Wewe! Acha kumkejeri mwenyekiti wa CCM aliyewataka vijana wachangamkie kazi za ndani uarabuni.๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ Tanzania haifanyi biashara ya kuuza Manamba.
CCM haiitaki katiba iwe mpya au ya zamani, katiba ni tishio kwa viongozi matajiri wa CCM, mwalimu alitutahadharisha kuhusu viongozi wafanyabiashara.Badala ya kumuomba Rais aharakishe zoezi la Upatikanaji wa Katiba Mpya pamoja na kurekebisha sheria zote za nchi hii ili kuweka Mazingira mazuri na wezeshi ya watu kuweza kujiajiri wao wenyewe au kuajiriwa kwa urahisi hapa hapa nchini, wewe unaomba kupelekwa utumwani Israel.!! Akili mbovu za namna hii zitaondoka lini kwa vijana wa Tz???? Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo imeendelea kwa bahati mbaya.
Mapinduzi ya Fikra yanahitajika sana kwa Watanzania ili tutoke hapa tulipokwama.
Kwa hiyo "ukijitambua" utaenda kupigana kwa ajili ya Hamas...! Inasikitisha sana....ahadi za mabikra 70 zimepumbaza wengi!
Hamas anauwa nani Mkuu.....Hizo Roketi zinazorushwa zinauwa panya....?
Vijana wa nchi nyingi za Afrika Magharibi wanaenda Korea kusini kupiga mzigo viwandani.Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,
Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!
Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira wasipate, huku walioko maofsini wakilipwa mshahara kidogo ukilinganisha na mshahara wa kibarua wa mashamba huko Israeli
Mh Rais, unapoamua maamzi haya, ni kutusaidia sisi vijana ili kujipatia kipato, kujijenga kiuchumi na kuijenga nchi yetu.
Kama tunakopa na ili tufanye maendeleo, maana yake ni kwamba, bado tupo chini ya mataifa hayo tunayoyakopa na hatujajikomboa kutoka katika hali ya utumwa wa kiumasikini
Kwa mantiki hiyo, unapotoa fursa hiyo kwa vijana, ni umetoa nafasi ya wao kujikomboa kutoka kwenye umasikini wao.
Huo sio utumwa, maana hata hapa nchini, kazi za kufanya kazi ya mashamba ya watu ipo na inaendelea.
Kama kufanya kazi kwenye mashamba ya wayahudi hao ni utumwa, vipi wale wanaofanya kazi hizo hizo kwenye mashamba ya waswahili wenzao na kwa malipo kidogo!
Binafisi, nipo tayari hata ikiwa ni leo usiku.
Sio muwe manamba na degree zenu israel kwa gharama ya nchi kushindwa kuilaani nchi hiyo kwa sera zake za ukaburu dhidi ya wapalestina. Kama ni nchi kupoteza uhuru wake kwenye diplomasia heri kukosa hizo ajira. Kwanza ajira gani hiyo wanatoa israel kwa wasomi wetu eti kwenda kua vibarua kwenye mashamba yao. Hapo ni wao kupata nguvu kazi ya bei rahisi au nguvu kazi iliyopungufu nchini kwao. Ni vizuri watu kupata ajira lakini kama maana yake ni kulazimika kuunga mkono utawala wa kibaguzi na kikandamizaji dhidi ya wapaledtina ni bora kukaa mbali na mayahudi.Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,
Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!
Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira wasipate, huku walioko maofsini wakilipwa mshahara kidogo ukilinganisha na mshahara wa kibarua wa mashamba huko Israeli
Mh Rais, unapoamua maamzi haya, ni kutusaidia sisi vijana ili kujipatia kipato, kujijenga kiuchumi na kuijenga nchi yetu.
Kama tunakopa na ili tufanye maendeleo, maana yake ni kwamba, bado tupo chini ya mataifa hayo tunayoyakopa na hatujajikomboa kutoka katika hali ya utumwa wa kiumasikini
Kwa mantiki hiyo, unapotoa fursa hiyo kwa vijana, ni umetoa nafasi ya wao kujikomboa kutoka kwenye umasikini wao.
Huo sio utumwa, maana hata hapa nchini, kazi za kufanya kazi ya mashamba ya watu ipo na inaendelea.
Kama kufanya kazi kwenye mashamba ya wayahudi hao ni utumwa, vipi wale wanaofanya kazi hizo hizo kwenye mashamba ya waswahili wenzao na kwa malipo kidogo!
Binafisi, nipo tayari hata ikiwa ni leo usi
Hiii ya kuunga mkono kwa lazima utawala wa Kizayuni umeipata wapi kwenye andiko hili mkuukulazimika kuunga mkono utawala wa kibaguzi na kikandamizaji dhidi ya wapaledtina ni bora kukaa mbali na mayahudi.