Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

Ningelikuwa rais, kwa ukulima wa wayahudi ningewamilikisha mashamba makubwa na kuwapa kabisa ardhi kama masetler ili ajira hizo tuzifanyie hapa hapa Tanzania na taifa lipate kodi zake za kiajira, upo uwezekano wa kuanzisha mashamba makubwa Tanzania na tatizo la ajira likaisha kwa 100%.
Serekali ifanyie kazi hili, iahinishe mashamba makubwa 15 tu, ambayo yatakuwa tayari kwa masetler kuin vest, hizi akili za bbt is a wastage!
 
Usikute labda unachuki tu za kidini ndiyo maana

Hizo ajira, walikuwa wakifanya Waparestina, fahamu hilo mkuu

Nsanzage:

Mkuu wengi hawajui Wapelestine wengi toka Gaza ndio wanafanya kazi Israel, wengi wanakuja asubuhi na kurudi jioni. Israel ilifuta vibali, hivyo imeathiri pande zote, Upande wa Gaza kukosa ajira na Waajiri Israel kukosa wafanyakazi, ndio kufungua mlango kutoka nchi nyingine...

Israel's war with Hamas disrupts Palestinian workers and Israeli employers alike​

NOVEMBER 4, 20235:48 AM ET
HEARD ON WEEKEND EDITION SATURDAY

Like most construction projects across Israel, work on these apartments has been on pause since Oct. 7, the day thousands of fighters from the Gaza-based militant group Hamas poured across the border into Israel, where they killed about 1,400 people and kidnapped hundreds of others.

Since then, as Israel has mounted a military campaign on Gaza in response, Israeli authorities have indefinitely paused worker permits for Palestinians over security concerns, hitting both Israeli industry and the West Bank's economy.

In peacetime, more than 110,000 Palestinians held permits to work in Israel or Israeli settlements, according to Palestinian officials, the majority of them in the construction industry.

Left without those workers — and without alternative sources of labor, as Israeli reservists have been called to war and many foreign workers have fled the conflict — the construction industry in Israel is operating at 15% of its prewar capacity, according to the Israel Builders Association, an industry group.

nd for Palestinians in the West Bank, the sudden shutoff of income has rippled through the economy, as workers struggle to pay their rent, car payments and children's tuition. The longer it goes on, workers say, the more desperate their situations will become.

Source:
View: https://www.npr.org/2023/11/04/1210588361/israel-palestinian-workers-construction-economy
 
Ningelikuwa rais, kwa ukulima wa wayahudi ningewamilikisha mashamba makubwa na kuwapa kabisa ardhi kama masetler ili ajira hizo tuzifanyie hapa hapa Tanzania na taifa lipate kodi zake za kiajira, upo uwezekano wa kuanzisha mashamba makubwa Tanzania na tatizo la ajira likaisha kwa 100%.

Wengi hawajui kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa......Wapelestine wengi wanategemea ajira Israel

View: https://www.npr.org/2023/11/04/1210588361/israel-palestinian-workers-construction-economy
 
Mkuu 'Nsanzagee', mimi sikulaumu wewe kwa maoni yako uliyo wasilisha kwenye mada yako; pamoja na kwamba msingi wa mada hiyo sikubaliani nao.

Ninachokubaliana nawe ni maoni kama hili uliloliweka katika mstari nilionukuu hapo juu.

Sasa naomba nikuulize swali: wewe unadhani "tutajikomboa" lini, na kwa njia zipi? Kwenda kwako kufanya kazi Israel kwa muda na kupata utakachopata huko, inawezekana ikawa nafuu kidogo kwako kwa muda, lakini utakaporudi hapa utaikuta hali ni hiyo hiyo kama ulivyo iacha kama hatutachukua hatua zaidi ya hizi tunazofanya sasa za kutegemea kuwapeleka nguvu kazi wetu huko nje.

Hivi Israel kuna kipi hasa cha ziada tusichoweza kuwa nacho sisi hapa?
Ardhi nzuri sana tunayo. Maji yapo chungu nzima.

Ni nini hasa kinachokosekana hadi kilimo chetu kisiwe na manufaa kuweza kutusaidia kama kinavyo wasaidia hao Israel?

Naona hapo juu tayari uazungumzia ukosefu wa mitaji ya kuwekeza; na pengine utaalam wa kilimo kama walivyo vavyo Israel.
Kwa nini sis tusiwe navyo hivi? Tuna chuo kikuu cha Sokoine, na vyuo mbalimbali nchini, na kila mwaka watu wanahitimu huko. Hiyo elimu ya kilimo ya Israel wao wanaipata wapi?

Ngoja nimalize: Mazao yanayozalishwa kwa mazingira kama yalivyo Israel, yasingeweza kamwe kushindana na mazao yetu katika soko; kwa sababu mazao yetu yangekuwa na bei nafuu zaidi ya hiyo wanayouzia Israel

Kwa hiyo, sikulalamikii wewe katika msimamo wako wa kutaka kwenda kuwa kibarua. Ninawalalamikia hao wanaokunyima fursa ili usijitoe kwenda kuwa manamba. Na ninakuomba hili ulifikiri vizuri hata wakati ukiwa huko Israel.

Mkuu Kalamu:

Nakubalina na hoja yako kwa sehemu kubwa, tatizo uliloanishi si kwa Tanzania tu, bali nchi nyingi za Kiafrika....unajua umaskini wa Malawi? Unajua tatizo la ajira Kenya.....

Kwa kifupi umeuliza Israeli imetuzidi nini hasa....? Jibu ni akili.....

Hebu angalia statistics....

Israel's high technology sector is the linchpin to its economy. The high-tech sector has witnessed the highest and fastest growth among all industries in the past decade. In 2022, the high-tech sector accounted for 18.1% of Israel's GDP and for 48.3% of Israel's total exports.Nov 3, 2023
The economy of Israel is a highly developed free-market economy.[22][23][24][25][26] The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon Valley.[22] It has the second-largest number of startup companies in the world after the United States,[27][needs update] and the third-largest number of NASDAQ-listed companies after the U.S. and China.[28] American companies, such as Intel,[29] Microsoft,[30] and Apple,[31][32] built their first overseas research and development facilities in Israel. More than 400 high-tech multi-national corporations, such as IBM, Google, Hewlett-Packard, Cisco Systems, Facebook and Motorola have opened R&D centers throughout the country.[33]

Sasa Mkuu Kalamu unaweza kujilinganisha na watu kama hawa? Kwenda kuvuna maparachichi...kupewa nyumba na umeme bure unaweza kupata $ 1,500 kwa mwezi.....Linganisha na mtu aliyesaka ajira miaka mitano Tanzania bila kuambulia chochote......Hicho ndicho kinachosukuma watu Kenya na Malawi....Hata Ufilipino na Thailand.....Kama hali haitabadilika Tanzania....Viongozi wetu kutobasili mwelekeo, utaona vijana wakijazana kwenye ubalozi wa Israel.
 
Asante mkuu, kwenye maisha yangu, nimeamishwa kufanya mabaya ni dhambi na kushindwa kuiona pepo

Staki biashara haramu, naamini uwezo alionipa Mungu nitatoboa tu
kila mmoja anavyoamini ila kauli yangu ni hy ukiona kitu kinasifiwa sana hasa kwenye maisha ya mafanikio jua kuna tatizo kwa undani na ukiona kitu kinapigwa vita sana jua hapo pana jambo jema sema nn watu mmefungwa akili ili wanufaike wachache na kweli wananufaika
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo

Mkuu Buenos Aires:

Ni uamuzi tu mkuu....unaweza kumtukia Allah kwa kupitia Hamas......Hivi unajua Hamas anapigania nini hasa? Je umesoma Charter ya Hamas....ni copy and paste ya Muslim Brotherhood.......

Hii ni portion ya Charter ya Hamas....This is purely a religious movement...! Kupigana kwa ajili ya Allah!

Article 1:

The Movement's program is Islam. From it, it draws its ideas, ways of thinking and understanding of the universe, life and man.

Article 2:

The Islamic Resistance Movement is one of the wings of Moslem Brotherhood in Palestine. Muslim Brotherhood Movement is a universal organization which constitutes the largest Islamic movement in modern times. It is characterized by its deep understanding, accurate comprehension and its complete embrace of all Islamic concepts of all aspects of life, culture, creed, politics, economics, education, society, justice and judgement, the spreading of Islam, education, art, information, science of the occult and conversion to Islam.

Article 3:

The basic structure of the Islamic Resistance Movement consists of Muslims who have given their allegiance to Allah whom they truly worship

Article 4:

The Islamic Resistance Movement welcomes every Muslim who embraces its faith, ideology, follows its program, keeps its secrets, and wants to belong to its ranks and carry out the duty. Allah will certainly reward such one.

Article 11:

The Islamic Resistance Movement believes that the land of Palestine is an Islamic Waqf [endowment] consecrated for future Muslim generations until Judgement Day. It, or any part of it, should not be squandered: it, or any part of it, should not be given up. Neither a single Arab country nor all Arab countries, neither any king or president, nor all the kings and presidents, neither any organization nor all of them, be they Palestinian or Arab, possess the right to do that.
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo

Kwa hiyo "ukijitambua" utaenda kupigana kwa ajili ya Hamas...! Inasikitisha sana....ahadi za mabikra 70 zimepumbaza wengi!
 
Mkuu Kalamu:

Nakubalina na hoja yako kwa sehemu kubwa, tatizo uliloanishi si kwa Tanzania tu, bali nchi nyingi za Kiafrika....unajua umaskini wa Malawi? Unajua tatizo la ajira Kenya.....

Kwa kifupi umeuliza Israeli imetuzidi nini hasa....? Jibu ni akili.....

Hebu angalia statistics....

Israel's high technology sector is the linchpin to its economy. The high-tech sector has witnessed the highest and fastest growth among all industries in the past decade. In 2022, the high-tech sector accounted for 18.1% of Israel's GDP and for 48.3% of Israel's total exports.Nov 3, 2023
The economy of Israel is a highly developed free-market economy.[22][23][24][25][26] The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon Valley.[22] It has the second-largest number of startup companies in the world after the United States,[27][needs update] and the third-largest number of NASDAQ-listed companies after the U.S. and China.[28] American companies, such as Intel,[29] Microsoft,[30] and Apple,[31][32] built their first overseas research and development facilities in Israel. More than 400 high-tech multi-national corporations, such as IBM, Google, Hewlett-Packard, Cisco Systems, Facebook and Motorola have opened R&D centers throughout the country.[33]

Sasa Mkuu Kalamu unaweza kujilinganisha na watu kama hawa? Kwenda kuvuna maparachichi...kupewa nyumba na umeme bure unaweza kupata $ 1,500 kwa mwezi.....Linganisha na mtu aliyesaka ajira miaka mitano Tanzania bila kuambulia chochote......Hicho ndicho kinachosukuma watu Kenya na Malawi....Hata Ufilipino na Thailand.....Kama hali haitabadilika Tanzania....Viongozi wetu kutobasili mwelekeo, utaona vijana wakijazana kwenye ubalozi wa Israel.
Uishi milele mkuu
 
🗑️🗑️🗑️🗑️ Tanzania haifanyi biashara ya kuuza Manamba.

Kwani Hamas inafanya biashara ya kuuza Manamba? Maana ni ajira za Wapelestina kusitishwa ndio kumeleta yote haya....

Israel deports thousands of Palestinian workers back to Gaza’s war zone​

JERUSALEM (AP) — Israel on Friday deported thousands of Palestinian workers from the Gaza Strip back to the besieged territory, Palestinian authorities said, capping what many described as harrowing weeks trapped in legal limbo since their detention when the Israel-Hamas war erupted.

Some workers, streaming by foot through an Israeli crossing that had been sealed shut since Hamas unleashed its brutal attack on southern Israel Oct. 7, told of violent mistreatment by Israeli authorities in detention centers. The Israeli military did not immediately respond to a request for comment on the allegations.

“We sacrificed and they treated us like livestock over there,” one of the workers, Wael al-Sajda, said from the border, pointing to his ankle fitted with an identification bracelet.

Al-Sajda was among the roughly 18,000 Palestinians from Gaza allowed to work in menial jobs in Israel. The permits have been coveted in Gaza, which has an unemployment rate approaching 50%. Israel began issuing the permits in recent years, a measure it thought helped stabilize Gaza and moderate Hamas, despite a broader blockade aimed at weakening the Islamic militant group.

Source:

Badala ya kumuomba Rais aharakishe zoezi la Upatikanaji wa Katiba Mpya pamoja na kurekebisha sheria zote za nchi hii ili kuweka Mazingira mazuri na wezeshi ya watu kuweza kujiajiri wao wenyewe au kuajiriwa kwa urahisi hapa hapa nchini, wewe unaomba kupelekwa utumwani Israel.!! Akili mbovu za namna hii zitaondoka lini kwa vijana wa Tz???? Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo imeendelea kwa bahati mbaya.
Mapinduzi ya Fikra yanahitajika sana kwa Watanzania ili tutoke hapa tulipokwama.
CCM haiitaki katiba iwe mpya au ya zamani, katiba ni tishio kwa viongozi matajiri wa CCM, mwalimu alitutahadharisha kuhusu viongozi wafanyabiashara.
 
Hamas anauwa nani Mkuu.....Hizo Roketi zinazorushwa zinauwa panya....?

Hebù tuonyeshe hata picha tu, halafu ukitaka nikuletee evidence ya watoto na watu wazima wameuawa gaza nitakuwekea

Ingia page instagram
Ifalasteen
eye on palestine
Shaunking n.k

Ingia hizo page utapata kujionea jinsi mazayuni wanavyo fanya ukatili, huwezi kukuta cnn au bbc wanaonyesha ukatili huu.
 
Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,

Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!

Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira wasipate, huku walioko maofsini wakilipwa mshahara kidogo ukilinganisha na mshahara wa kibarua wa mashamba huko Israeli

Mh Rais, unapoamua maamzi haya, ni kutusaidia sisi vijana ili kujipatia kipato, kujijenga kiuchumi na kuijenga nchi yetu.

Kama tunakopa na ili tufanye maendeleo, maana yake ni kwamba, bado tupo chini ya mataifa hayo tunayoyakopa na hatujajikomboa kutoka katika hali ya utumwa wa kiumasikini

Kwa mantiki hiyo, unapotoa fursa hiyo kwa vijana, ni umetoa nafasi ya wao kujikomboa kutoka kwenye umasikini wao.

Huo sio utumwa, maana hata hapa nchini, kazi za kufanya kazi ya mashamba ya watu ipo na inaendelea.

Kama kufanya kazi kwenye mashamba ya wayahudi hao ni utumwa, vipi wale wanaofanya kazi hizo hizo kwenye mashamba ya waswahili wenzao na kwa malipo kidogo!

Binafisi, nipo tayari hata ikiwa ni leo usiku.
Vijana wa nchi nyingi za Afrika Magharibi wanaenda Korea kusini kupiga mzigo viwandani.

Ruto na serikali nzima ya Kenya wanajaribu kufikia dili na Ujerumani vijana laki mbili wa Kenya waende ujerumani kupiga kazi na wakati huohuo wamefikia dili na Uingereza vijana wengi wa sekta ya afya wakapige mzigo UK.

Tanzania tunawanyima vijana hata passport mpaka wawe na sababu maalum, kitu ambacho ni haki yao sawa na kitambulisho kingine chochote.

Tanzania
 
Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati,

Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana!

Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira wasipate, huku walioko maofsini wakilipwa mshahara kidogo ukilinganisha na mshahara wa kibarua wa mashamba huko Israeli

Mh Rais, unapoamua maamzi haya, ni kutusaidia sisi vijana ili kujipatia kipato, kujijenga kiuchumi na kuijenga nchi yetu.

Kama tunakopa na ili tufanye maendeleo, maana yake ni kwamba, bado tupo chini ya mataifa hayo tunayoyakopa na hatujajikomboa kutoka katika hali ya utumwa wa kiumasikini

Kwa mantiki hiyo, unapotoa fursa hiyo kwa vijana, ni umetoa nafasi ya wao kujikomboa kutoka kwenye umasikini wao.

Huo sio utumwa, maana hata hapa nchini, kazi za kufanya kazi ya mashamba ya watu ipo na inaendelea.

Kama kufanya kazi kwenye mashamba ya wayahudi hao ni utumwa, vipi wale wanaofanya kazi hizo hizo kwenye mashamba ya waswahili wenzao na kwa malipo kidogo!

Binafisi, nipo tayari hata ikiwa ni leo usi
Sio muwe manamba na degree zenu israel kwa gharama ya nchi kushindwa kuilaani nchi hiyo kwa sera zake za ukaburu dhidi ya wapalestina. Kama ni nchi kupoteza uhuru wake kwenye diplomasia heri kukosa hizo ajira. Kwanza ajira gani hiyo wanatoa israel kwa wasomi wetu eti kwenda kua vibarua kwenye mashamba yao. Hapo ni wao kupata nguvu kazi ya bei rahisi au nguvu kazi iliyopungufu nchini kwao. Ni vizuri watu kupata ajira lakini kama maana yake ni kulazimika kuunga mkono utawala wa kibaguzi na kikandamizaji dhidi ya wapaledtina ni bora kukaa mbali na mayahudi.
 
kulazimika kuunga mkono utawala wa kibaguzi na kikandamizaji dhidi ya wapaledtina ni bora kukaa mbali na mayahudi.
Hiii ya kuunga mkono kwa lazima utawala wa Kizayuni umeipata wapi kwenye andiko hili mkuu

Suala hapa ni vijana kwenda Israel kupiga kazi za bustani kwa malipo manono
 
Back
Top Bottom