Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

Camera za barabarani bila notification ni maumivu makubwa sana, kuna siku utakamatwa na gari lako unakuta una deni la M5 bila wwe kujua,kumbe camera za siri zishafanya yao!! Nashauri hata kwenye parking fees waweke notification pia, maana kuna jamas kakuta anadaiwa pesa ya parking elfu 70 na hakumbuki alipaki wapi na wapi hadi ikafika hiyo amount!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hizo kamera si zitasimamiwa na watu au zitajiendesha zenyewe? Polisi watazichezea tu
Ni vizuri kila basi iwekwe namba ya simu ya kamanda. Abiria akihisi kuna rushwa anapiga simu kwa kamanda nakala kwa Takukuru
Huyo kamanda anayepigiwa simu naye ana share zake kwa hao polisi wala rushwa. Ngoma bado ngumu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…