Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

Umenikumbusha 2013 ,kunajamaa alijifanya m-babe Kijijini bwana akaja ,akagusa kwamtu mmoja mpolesan

Ngumu zikaaaa ,akapigwa Moja ya mana ,mojakwamoja akakimbilia ofisi ya Kijiji ,akilalamika kwamba kapigwa na sturi , haikuwa ngumi


Wikilile ,Kila kijiwe ilikuwa hivyo
 
Mutateseka sana, sisi wananchi tunaimani na Samia mipango yake kwetu Inapimika, tumeona miradi mingo ikikamilika, miradi ya maji, scheme za umwagiliaji, vituo vya Afya, pembejeo za ruzuku, ruzuku za mbolea, kupandishwa madaraja watumishi, ongezeko la mishahara kila mwezi, ajira mpya zingali zinaendelea, utulivu wa kisiasa, amani imetawala, bei za mazao zinapanda kutokana na kufunguka kwa nchi yetu. Hatuoni sababu ya kumchukua, tupo nae Hadi 2030. Mjue Hilo, hata mpike majungu, tupo nae, na tutakuwa nae. Wewe ukitaka kajinyonge tu.
 
Marehemu hakukosea kua mkali km mwl wa nidhamu,ukiwachekea wachache wengi wanateseka sasa hv wengi wanaumia and wachache anaowachekea wanakula bata kipindi chaunanijua mm nani achamkono wabirika kimerejea
 
Huyu mama kama unaweza pata connection zake nijulishe inbox nimtumie angalau laki aongezee kweny mtaji wake!! Nakala iende kwa Lucas mwashamba, natumai nae atakumbana na sekeseke kama lako mtoa mada!! Hiyo
Hata ukimwongezea hiyo laki wanunuzi wapo wapi?
Kila mtu mchovu!!
 
Kaza roho,kazi iendelee!
 
Una
Una ugonjwa wa akili sio bure
 
An
Kama wewe utavyoenda Mirembe baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa kuanzia hapo mwakani kwenye serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Wewe kafe tu maana huna sababu ya kuishi kwenye nchi hii, ikiwa kazi Yako ni kulalama.
Ayelalama Nani wewe kajamba Nani? Leteni katiba mpya muone Kama mtapata hata kiti kimoja
 
Rise and fall of JF, nilitegemea thread kama hii iwe jukwaa la chitchat au comment kwenye jukwaa la siasa.
Kwa taarifa hii sio chit chat!, ni namna ya utunzi wa kisanii kuonesha ni jinsi gani huyu mama hakubaliki na watu wa tabaka la chini. Kwa wwnye upeo tumeelewa! Sasa kama unadhani ni chit chat utabaki kusubiri sana threads za siasa!
 
Kwa taarifa hii sio chit chat!, ni namna ya utunzi wa kisanii kuonesha ni jinsi gani huyu mama hakubaliki na watu wa tabaka la chini. Kwa wwnye upeo tumeelewa! Sasa kama unadhani ni chit chat utabaki kusubiri sana threads za siasa!
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…