Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Sio suala la kupendwa hapa, Kikwete alikuwa anapendwa sana tu ila hapo hapo alijulikana kama rais dhaifu.Wabongo labda uwaletee malaika awe rais wao .hakuna rais aliyependwa nchi na wote hayupo na hatakuwepo.
Hata ukimwongezea hiyo laki wanunuzi wapo wapi?Huyu mama kama unaweza pata connection zake nijulishe inbox nimtumie angalau laki aongezee kweny mtaji wake!! Nakala iende kwa Lucas mwashamba, natumai nae atakumbana na sekeseke kama lako mtoa mada!! Hiyo
Kaza roho,kazi iendelee!Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Una ugonjwa wa akili sio bureMutateseka sana, sisi wananchi tunaimani na Samia mipango yake kwetu Inapimika, tumeona miradi mingo ikikamilika, miradi ya maji, scheme za umwagiliaji, vituo vya Afya, pembejeo za ruzuku, ruzuku za mbolea, kupandishwa madaraja watumishi, ongezeko la mishahara kila mwezi, ajira mpya zingali zinaendelea, utulivu wa kisiasa, amani imetawala, bei za mazao zinapanda kutokana na kufunguka kwa nchi yetu. Hatuoni sababu ya kumchukua, tupo nae Hadi 2030. Mjue Hilo, hata mpike majungu, tupo nae, na tutakuwa nae. Wewe ukitaka kajinyonge tu.
Kama wewe utavyoenda Mirembe baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa kuanzia hapo mwakani kwenye serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Wewe kafe tu maana huna sababu ya kuishi kwenye nchi hii, ikiwa kazi Yako ni kulalama.Una
Una ugonjwa wa akili sio bure
Ayelalama Nani wewe kajamba Nani? Leteni katiba mpya muone Kama mtapata hata kiti kimojaKama wewe utavyoenda Mirembe baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa kuanzia hapo mwakani kwenye serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Wewe kafe tu maana huna sababu ya kuishi kwenye nchi hii, ikiwa kazi Yako ni kulalama.
Kwa taarifa hii sio chit chat!, ni namna ya utunzi wa kisanii kuonesha ni jinsi gani huyu mama hakubaliki na watu wa tabaka la chini. Kwa wwnye upeo tumeelewa! Sasa kama unadhani ni chit chat utabaki kusubiri sana threads za siasa!Rise and fall of JF, nilitegemea thread kama hii iwe jukwaa la chitchat au comment kwenye jukwaa la siasa.
Katiba inakuja, na bado nyinyi watetezi wa wale jamaa wa ACACIA mtalamba nyasi.An
Ayelalama Nani wewe kajamba Nani? Leteni katiba mpya muone Kama mtapata hata kiti kimoja
🚮🚮Kwa taarifa hii sio chit chat!, ni namna ya utunzi wa kisanii kuonesha ni jinsi gani huyu mama hakubaliki na watu wa tabaka la chini. Kwa wwnye upeo tumeelewa! Sasa kama unadhani ni chit chat utabaki kusubiri sana threads za siasa!
Nitajie rais ambaye hakukosolewaSio suala la kupendwa hapa, Kikwete alikuwa anapendwa sana tu ila hapo hapo alijulikana kama rais dhaifu.