Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

Kakopa matilioni ya fedha kujenga matundu ya vyoo vya shule na madarasa nchi nzima wewe hauoni
 
Hali ya uzalishaji itashuka sana kutokana na nishati muhimu ya umeme kusuasua.
 
kiukweli maza hajui kinachoendelea huku ground,
watu hata kama wanaongea upotoshaji ukiuacha uongelewe kwa mda mrefu, kuja kuwabadilisha wanaoambiwa itachukua miongo.
na anatakiwa atuonyeshe kwa ni upotoshaji kwa kutoa maelezo sahihi sio kuwanyamazisha wanaotusanua
 
Hajafanya kitu hata kimoja
Ningeshangaa km ungeweza kuainisha hata kimoja alichofanya.
Labda nikusaidie mafanikio ya kiongozi huyu
1: kuwaondoa kwa nguvu Wamasai ngorongoro.
2: Bandari hadi sasa kaamua kukaa kimya hili inamaanisha kilichoenda kwa mganga hakirudi.
3: kuchelewesha miradi ya kimkakati aliyoirithi bila sababu maalum.
4: kuongeza gharama za kuunganisha umeme.
5: TOZO
6: Mgao usio rasmi wa umeme.
Acha niishie hapo, ni mengi sana na mengiñe yanakuja
 
Haya kimbia nenda kapimwe akili.
 
Unataka ushahidi upi zaidi ya ule uliopo kwenye ripoti ya CAG
Ripoti za CAG zina mjumuisho wa ufisadi wa marehemu magufuli kumbuka wakati wa Magufuli zile ripoti zilikua sirikali. Kwanini uzembe wote wa magufuli aangushiwe samia?
 
Ripoti za CAG zina mjumuisho wa ufisadi wa marehemu magufuli kumbuka wakati wa Magufuli zile ripoti zilikua sirikali. Kwanini uzembe wote wa magufuli aangushiwe samia?
Ishu Kuna ufisadi inabidi ufanyiwe kazi,haijalishi ulikuwa kipindi Cha magufuli au Sasa? Unataka kuniambia anauchekea kwakuwa ulifanywa wakati wa magufuli? La msingi ni kuchukua hatua.

Halafu nyie hata wakati wa magufuli mlikuwa mnasifia tu,yaani hamueleweki na hamna msimamo
 


Si angekuvunja kabisa taya na mdomo, maana mdomo wako huna break, angeuvunja tu.. 😀
 
Kulalamika ni kawaida. Hata ukienda Ulaya raia wanalalamika. Tofauti ni kuwa hapa kwetu malalamiko ni mengi na yangeweza kupungua lakini viongozi hawataki kufanya hivyo. Kuhusu rais Samia. Kwangu nadhani ni rais anayechukiwa kuliko watangulizi wake wote. Sijui kwanini lakini wanawake ndiyo wanaongoza kwa kumchukia mwanamke mwenzao.
 
Hatua zinachukuliwa au hujasikia aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la arusha Dr.Pima na wenzake wamefungwa miaka ishirini jela mwezi uliopita? Au wewe unataka hatua gani?
 
Umenifurahisha saana ila nextime usimtetee samia kwa wamama yaani hao ndo hawamtaki hata kumsikia
 
Mbona Mimi ninazo ...na Nimesoma UDSM BSc with honours..au niweke na cheti kabisa?
Mama anaupiga mwingi
Mjinga wewe umeenda kukaririshwa umetoka na nini kichwani zaidi ya hicho cheti? wewe umemaliza chuo na siyo kuelimika
 
🤣🤣🤣🤣🤣Naungana na wamama wa sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…