Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

Kwa hiyo mmekubali yaishe na sasa mnamuunga mkono mama sio kutetea legacy tena?
Legacy inajitetea yenyewe.

Samia alikuwa Makamu wa Rais, ni sehemu ya Awamu ya Tano, msisahau.

Twende na Samia 2025.
 
mama anampenda na kumkubali sana Mbowe na Mbowe keshalijua hilo ndo maana Mbowe anajaribu kuwa karibu na mama.
akuna Sukuma gang bali ni mpango madhubuti wa CCM kuwapiga chenga wazinguaji.
 
Mjiandae na kelele zenu za siku zote - tumewaibia kura.
"Iwapo Uchaguzi utakuwa wa Huru na HAKI CCM ijiandae.....hayo si yangu hayo ni maneno ya Chawa mtiifu na aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Fitna na Manunuzi ya Wanadamu.
 
Mbowe lini alikuwa upinzani wa kweli wewe?

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
Ujumbe wako unaficha ukweli kuwa wewe ni sehemu ya hao Sukuma Gang ukijaribu kumkwaza SSH na watu wake.
 
Legacy inajitetea yenyewe.

Samia alikuwa Makamu wa Rais, ni sehemu ya Awamu ya Tano, msisahau.

Twende na Samia 2025.
Sawa sawa, legacy iachwe ijiteteee yenyewe, sio kulazimisha.
 
Umoja party ni chama chenye itikadi ya kidikiteta, mwendazake alifanya mengi mazuri lkn hatuji kumsahau kwa udikiteta alioifanyia nchi yetu.
Kipi mtawaliwe kwa nguvu mupate mahitaji yenuya msingi au muishi kwenye huo upigaji watoto wenu wakose ajira na vitu vipande bei kiholela?
 
Legacy inajitetea yenyewe.

Samia alikuwa Makamu wa Rais, ni sehemu ya Awamu ya Tano, msisahau.

Twende na Samia 2025.
Sasa hatimaye akili zimekurudia, simama sasa uhesabiwe, jipange kwenye mstari ulambe asali badala kila siku kumponda mtu aliyeshika mpini.
 
CHADEMA wakiungana na kina Makonda, Sabaya na kina Kalemani nitatembea uchi kutoka Mwakaleli hadi Uyole.

Huyo Kalemani atoe kwa CCTV ile iliyorekodi tukio la Lisu kupigwa risasi .
 
CHADEMA wakiungana na kina Makonda, Sabaya na kina Kalemani nitatembea uchi kutoka Mwakaleli hadi Uyole.

Huyo Kalemani atoe kwa CCTV ile iliyorekodi tukio la Lisu kupigwa risasi .
Lolote linawezakana kwenye siasa kumbuka waliungana na Lowassa
 
CHADEMA hata akiwapa kila kitu, bado watamkosoa tu na ndio msingi wa chama pinzani.

Kikubwa ajifunze tu kukaa kwa kukosolewa huku 2025 akiwapisha wengine.

SAMIA kosa lake kubwa ni kutogusa maisha ya watu hasa kwenye mfumuko wa bei. Kuwakosesha machinga kazi kwa kuwafukuza. Hivyo maisha yamekuwa magum sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…