Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikosea mwanzo ulivyotumia wingi. Wewe muunge mkono yeyote umpendaye hakuna atakayekushangaa wala kukuuliza.Cha ajabu kitu gani hapo? nyinyi ni watoto wa juzi mmetoka vyuoni na kurukia tu kujiita wanaharakati wakati uwezo wenu mdogo wa kuchanganuwa mambo.
Mimi si wa kwanza wala wa mwisho ngoja nikuingize darasa dogo tu la siasa.
Baba wa Taifa JK Nyerere kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 alimfanyia kampeni mgombea ubunge wa Nccr Mageuzi Paul Ndobho na yeye binafsi alitamka wazi kura yake ya ubunge atampigia Balozi Ndobho na alishinda ubunge kwenye jimbo la Baba wa Taifa la Musoma vijijini kabla halijagawanywa na kuzaliwa jimbo la Butiama.
Pili tukienda kwenye nchi iliyomfano wa kidemocrasia duniani Mrepublican Collin Powel alitamka wazi anamuunga mkono mgombea wa Democratic Barrack Obama na kura yake atampa Obama na alifanya hivyo.
Maalim Seif alimuacha mgombea wake Urais wa ACT na alimuunga mkono Tundu Lisu hamkuliona hilo?
Ni kipi kinachokushangaza kwangu nikikwambia mama namuunga mkono na akifanya vizuri nitampigia kura?
Vijana wa Chadema jitafakarini sana aina ya siasa zenu, muda si mrefu mtamuona hata Mbowe hafai wakati Mbowe anawazidi akili kwa mbali na hataki siasa za kiharakati, hii ni mara ya pili Freeman Mbowe anakutana na Rais, yule hana akili kama hizi zenu za kumpinga mtu kwa kila jambo halafu baadaye urudi tena kwa mtu yuleyule kumuomba jambo fulani.
Kama nyinyi ni wanaharakati kweli katiba inaruhusu mikutano na maandamano ni kwa nini mnataka ruhusa ya Rais ilihali ni haki yenu ya kikatiba? Ni lini haki ikawa inaombwa?
Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani
Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema
Lakini hivi sasa haya makundi yanaunganishwa na kitu kimoja, kumpinga Samia
Licha ya uhasama walio nao wanaweza kusahau yaliyopita na kuungana na kuunda Timu kali ya propaganda mtandaoni
Propaganda za mtandaoni zina nguvu sana kama zikiwa organized,
Sukuma gang walikuwa sehemu ya kundi lililoitwa MATAGA na walijijenga sana kipindi cha Magufuli kusambaza propaganda za kuisifu serikali
Chadema nao wana mtandao mkubwa online na wakiungana na hao maadui zao, Serikali ya Samia itakuwa na wakati mgumu
Sasa Samia naona kama ameshtuka, anawavuta Chadema mdogo mdogo, na anaweza kuwapa haki ambazo ziliporwa na Magufuli
Hili litafanya Chadema wamuone Mama kama mtu muungwana na anayestahili kuungwa mkono huku wakiendelea kumlaani Magufuli
Litafanya Sukuma gang wataona Chadema na CCM ya Samia kama kitu kimoja na watakuwa wanawaahambulia wote, utakua mpango mzuri wa kuwazuia kuungana S
Je atafanikiwa? Kikwazo cha huu mpango ni Chadema ya sasa kutekwa na wanaharakati na sidhani kama Mbowe anaweza kuwadhibiti kwa 100%
Kipi mtawaliwe kwa nguvu mupate mahitaji yenuya msingi au muishi kwenye huo upigaji watoto wenu wakose ajira na vitu vipande bei kiholela?
Hata samwel sitta aliungana na akawapa mileage ya kumshambulia lowasa, mwisho wa siku wakaenda na lowasa wakimsafisha huku sitta akionekana alikuwa na chuki binafsi.
Magufuli aliwajua hao ni watu wa maslahi. Sifa za upinzani wa tanzania;
1. Hawana misimamo inayodumu.
2. Ukiwapa nafasi ya kufanya siasa huru ujue umewapa mbegu ya uharibifu wako hata JK anajua.
3. Ni wapinzani wa majira, kwamba huwa wapinzani wakikosa fursa za ulaji na upigaji.
4. Wengi wamegeuza vyama vyao vya siasa kama vitega uchumi vyao ndio maana vina turn over kubwa ya maafisa waandamizi wa vyama vyao maana huwa wanapishana linapokuja suala la ulaji.
[/QUOT]
Ila wakipigwa Risasi hawajui ulaji si ndio?.
Mnasahau sisi, MATAGA na Sukuma Gang, sote ni wanasisiem.
Tanzania tuna kundi la wapigaji wanaojiita wapinzani.
2025 msijekulialia tumewaibia kura.
Hata samwel sitta aliungana na akawapa mileage ya kumshambulia lowasa, mwisho wa siku wakaenda na lowasa wakimsafisha huku sitta akionekana alikuwa na chuki binafsi.
Magufuli aliwajua hao ni watu wa maslahi. Sifa za upinzani wa tanzania;
1. Hawana misimamo inayodumu.
2. Ukiwapa nafasi ya kufanya siasa huru ujue umewapa mbegu ya uharibifu wako hata JK anajua.
3. Ni wapinzani wa majira, kwamba huwa wapinzani wakikosa fursa za ulaji na upigaji.
4. Wengi wamegeuza vyama vyao vya siasa kama vitega uchumi vyao ndio maana vina turn over kubwa ya maafisa waandamizi wa vyama vyao maana huwa wanapishana linapokuja suala la ulaji.
Uhuru usingekuwa na maana mpaka leo serikali ya makaburu ingekuwa madarakani, maana wamefanya maendeleo makubwa hadi kuzishinda nchi nyingi tu za ulaya.Bora kuwa huru,
Uhuru una thamani ya juu kuliko chochote ndio maana tuliwaondoa wakoloni.
Chadema kamwe haiwezi kuungana na wauwaji, labda muwaoneshe Ben saanane yuko wapi.Ni kweli pona pona ya Rais Samia ni ugomvi wa wafuasi wa Chadema na sukuma gang. Siku sukuma gang na chadema wakiuangana ndio mwisho wa CCM.
Aliyepost ana lengo baya na CHADEMASupporter's wengi wa Chadema tunamuunga mama mkono na miguu, hatuwezi kuungana na genge la wauwaji.
Supporter wa chadema Ila anaahidi kumpigia kura mgombea wa CCM[emoji23][emoji23][emoji23], inashangaza kwa huyu supporter.
Hakuna supporter wa hivi, Ila ni hajiamini tu.
MATAGA ni CCM, tukutane 2025.
Two wrongs don't make a right. Tanzania hakuna upinzani wa kweli, ni kikundi cha wahuni na wapigaji kwa kisingizio cha upinzani.On aibu, CCM inaongoza miaka yote na ufisadi juu. Matrilioni ya hela yameibiwa miaka yote sitini ya Uhuru, umebaki kulaumu upinzani ambao haudai kodi Wala kukusanya Kodi.
MATAGA na Sukuma Gang ni Wanasisiem na hawawezi kuondoka sisiem.Wana chama chao Umoja Party ambacho kitaingia coaliation na Chadema 2025.
Kabisa!Supporter's wengi wa Chadema tunamuunga mama mkono na miguu, hatuwezi kuungana na genge la wauwaji.
Basi wamuunge mkono Samia, mtu wao keshakufa hata Gwajima hawezi kumfufuaTwo wrongs don't make a right. Tanzania hakuna upinzani wa kweli, ni kikundi cha wahuni na wapigaji kwa kisingizio cha upinzani.
MATAGA na Sukuma Gang ni Wanasisiem na hawawezi kuondoka sisiem.
Unyama gani wakati ben sanane na tundu lisu kupigwa shaba ni kesi za mbowe na makomando wake ......najua mtapinga ila huo ndiyo ukweli kamiliSimaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani
Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema
Lakini hivi sasa haya makundi yanaunganishwa na kitu kimoja, kumpinga Samia
Licha ya uhasama walio nao wanaweza kusahau yaliyopita na kuungana na kuunda Timu kali ya propaganda mtandaoni
Propaganda za mtandaoni zina nguvu sana kama zikiwa organized,
Sukuma gang walikuwa sehemu ya kundi lililoitwa MATAGA na walijijenga sana kipindi cha Magufuli kusambaza propaganda za kuisifu serikali
Chadema nao wana mtandao mkubwa online na wakiungana na hao maadui zao, Serikali ya Samia itakuwa na wakati mgumu
Sasa Samia naona kama ameshtuka, anawavuta Chadema mdogo mdogo, na anaweza kuwapa haki ambazo ziliporwa na Magufuli
Hili litafanya Chadema wamuone Mama kama mtu muungwana na anayestahili kuungwa mkono huku wakiendelea kumlaani Magufuli
Litafanya Sukuma gang wataona Chadema na CCM ya Samia kama kitu kimoja na watakuwa wanawaahambulia wote, utakua mpango mzuri wa kuwazuia kuungana S
Je atafanikiwa? Kikwazo cha huu mpango ni Chadema ya sasa kutekwa na wanaharakati na sidhani kama Mbowe anaweza kuwadhibiti kwa 100%
Wewe chadema ilisha kufa na ccm ilishakufa sikuizi watz tunataka wazalendo siyo wanasiasa samia hata akiungana na wapinzani wote ni bure nguvu ya wapenda uzalendo ni kubwa kuliko vyama vya siasa kwa sasa ,Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani
Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema
Lakini hivi sasa haya makundi yanaunganishwa na kitu kimoja, kumpinga Samia
Licha ya uhasama walio nao wanaweza kusahau yaliyopita na kuungana na kuunda Timu kali ya propaganda mtandaoni
Propaganda za mtandaoni zina nguvu sana kama zikiwa organized,
Sukuma gang walikuwa sehemu ya kundi lililoitwa MATAGA na walijijenga sana kipindi cha Magufuli kusambaza propaganda za kuisifu serikali
Chadema nao wana mtandao mkubwa online na wakiungana na hao maadui zao, Serikali ya Samia itakuwa na wakati mgumu
Sasa Samia naona kama ameshtuka, anawavuta Chadema mdogo mdogo, na anaweza kuwapa haki ambazo ziliporwa na Magufuli
Hili litafanya Chadema wamuone Mama kama mtu muungwana na anayestahili kuungwa mkono huku wakiendelea kumlaani Magufuli
Litafanya Sukuma gang wataona Chadema na CCM ya Samia kama kitu kimoja na watakuwa wanawaahambulia wote, utakua mpango mzuri wa kuwazuia kuungana S
Je atafanikiwa? Kikwazo cha huu mpango ni Chadema ya sasa kutekwa na wanaharakati na sidhani kama Mbowe anaweza kuwadhibiti kwa 100%
Pia ukumbuke asilimia 90% ya wanachama na wafuasi wa chadema ni team sukuma gang tatizo amjui sukuma gang ni nini ,sukuma gang ni nyoyo siyo vyama vya siasa ni kama uzalendo ni nyoyo siyo chamaSimaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani
Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema
Lakini hivi sasa haya makundi yanaunganishwa na kitu kimoja, kumpinga Samia
Licha ya uhasama walio nao wanaweza kusahau yaliyopita na kuungana na kuunda Timu kali ya propaganda mtandaoni
Propaganda za mtandaoni zina nguvu sana kama zikiwa organized,
Sukuma gang walikuwa sehemu ya kundi lililoitwa MATAGA na walijijenga sana kipindi cha Magufuli kusambaza propaganda za kuisifu serikali
Chadema nao wana mtandao mkubwa online na wakiungana na hao maadui zao, Serikali ya Samia itakuwa na wakati mgumu
Sasa Samia naona kama ameshtuka, anawavuta Chadema mdogo mdogo, na anaweza kuwapa haki ambazo ziliporwa na Magufuli
Hili litafanya Chadema wamuone Mama kama mtu muungwana na anayestahili kuungwa mkono huku wakiendelea kumlaani Magufuli
Litafanya Sukuma gang wataona Chadema na CCM ya Samia kama kitu kimoja na watakuwa wanawaahambulia wote, utakua mpango mzuri wa kuwazuia kuungana S
Je atafanikiwa? Kikwazo cha huu mpango ni Chadema ya sasa kutekwa na wanaharakati na sidhani kama Mbowe anaweza kuwadhibiti kwa 100%
Chadema imekufa kifo cha kibudu niamini mimi ninacho kuambia.Supporter's wengi wa Chadema tunamuunga mama mkono na miguu, hatuwezi kuungana na genge la wauwaji.