Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

Uhuru wetu una thamani kuliko kitu chochote kile, na mama ameturudishia uhuru wetu, Sukuma gang wahamie kwa ndugu yao Kagame.
Uhuru wa kufanya ufisadi nchini ...WAHUNI NI WOTE MNAOCHUKIA UZALENDO
 
Wewe chadema ilisha kufa na ccm ilishakufa sikuizi watz tunataka wazalendo siyo wanasiasa samia hata akiungana na wapinzani wote ni bure nguvu ya wapenda uzalendo ni kubwa kuliko vyama vya siasa kwa sasa ,

..nguvu ya Ccm iko polisi, tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa, na ktk mahakama.
 
Back
Top Bottom