Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 May 10, 2022 #81 Matola said: Uhuru wetu una thamani kuliko kitu chochote kile, na mama ameturudishia uhuru wetu, Sukuma gang wahamie kwa ndugu yao Kagame. Click to expand... Uhuru wa kufanya ufisadi nchini ...WAHUNI NI WOTE MNAOCHUKIA UZALENDO
Matola said: Uhuru wetu una thamani kuliko kitu chochote kile, na mama ameturudishia uhuru wetu, Sukuma gang wahamie kwa ndugu yao Kagame. Click to expand... Uhuru wa kufanya ufisadi nchini ...WAHUNI NI WOTE MNAOCHUKIA UZALENDO
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 May 10, 2022 #82 Lwiva said: Wewe chadema ilisha kufa na ccm ilishakufa sikuizi watz tunataka wazalendo siyo wanasiasa samia hata akiungana na wapinzani wote ni bure nguvu ya wapenda uzalendo ni kubwa kuliko vyama vya siasa kwa sasa , Click to expand... ..nguvu ya Ccm iko polisi, tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa, na ktk mahakama.
Lwiva said: Wewe chadema ilisha kufa na ccm ilishakufa sikuizi watz tunataka wazalendo siyo wanasiasa samia hata akiungana na wapinzani wote ni bure nguvu ya wapenda uzalendo ni kubwa kuliko vyama vya siasa kwa sasa , Click to expand... ..nguvu ya Ccm iko polisi, tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa, na ktk mahakama.
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 May 10, 2022 #83 Mugabe Tz said: First Seat, MATAGA njooni huku, kuna mtu kawataja Click to expand... Hivi wapo kweli!? Ka vile walishataga wanaatamia mayai viza! Haa haaa
Mugabe Tz said: First Seat, MATAGA njooni huku, kuna mtu kawataja Click to expand... Hivi wapo kweli!? Ka vile walishataga wanaatamia mayai viza! Haa haaa
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 2,993 Reaction score 3,747 May 10, 2022 #84 THE FIRST BORN said: Sisi kama Wasukuma Tushaunda chama Chetu UMOJA PARTY tukutane 2025. Click to expand... Sheria ya usajili wa vyama vya siasa hairuhusu chama cha kikabila.
THE FIRST BORN said: Sisi kama Wasukuma Tushaunda chama Chetu UMOJA PARTY tukutane 2025. Click to expand... Sheria ya usajili wa vyama vya siasa hairuhusu chama cha kikabila.