Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Anasema, 'walishaharibu kwao', 'walishavuruga kwao' wanataka na kwetu watuvurugie, 'nchi iliyobaki na amani ni Tanzania tu', ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.