Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,678
- 2,004
Maza hana tatizo ila Washauri wake huenda ndiyo wana mmis lead!
Bado Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri.
Ungekuwa wewe ungeruhusu kuwa misleaded?
Maza hana tatizo ila Washauri wake huenda ndiyo wana mmis lead!
Bado Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri.
CDM ishajifia siku nyingi haina cha maana kabisa kilichobaki waliitisha maandamano wakafanikiwa kuandamana akina viongozi tu.Kenya wanatusaidia kukuza demokrasia yetu ili tusifike huko walikowahi kufika wao!
Huwezi kulinganisha demokrasia ya Kenya na ya Tanzania hata kdg! Kenya wameshatoka ktk utwana!
CCM wanatakiwa kutambua kuwa wanachodai CDM hata wao wangedai kama wangekuwa wapinzani!
Sidhani kama CDM watalaumiwa kwa baya lolote bali CCM tujitathimini sana na mienendo yetu.
Focus na vile vipropaganda vya kusifia sifia, uko vizuri kuleAmewanyoosha