Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 3,689
- 5,409
Huko haendi tena,Huyo mzanzibar ni kilaza pro max na ndo maana hajiamini tena kusafiri kwenda kwa wazungu

Kuteka na kuua sio ujasiri, ni zaidi ya ugoigoi, mwisho wake sio mzuri atalipa tuuAmewakomesha.Kama vipi kuwa Kiongozi wewe uoneshe ujasiri
AmewanyooshaKuteka na kuua sio ujasiri, ni zaidi ya ugoigoi, mwisho wake sio mzuri atalipa tuu
Kenya wanatusaidia kukuza demokrasia yetu ili tusifike huko walikowahi kufika wao!Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
In a summary, alikua anatoa mipasho. Watu wa pwani haoUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Anasema, 'walishaharibu kwao', 'walishavuruga kwao' wanataka na kwetu watuvurugie, 'nchi iliyobaki na amani ni Tanzania tu', ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Wasted spermNo Big NO , sio kashindwa ,yeye sio kama Magufuli ,Magu aliwafukuza waliokuwa wazito waoga magoigoi ,SSH ni mbinadamu ila ubinadamu wake unawafanya aina zenu mumuone dhaifu , na alichotumia ni kuwaaminisha walio katika ngazi za kuwajibika wasiogope watumie nyadhifa zao kujibu mapigo ,bila ya kumsubiri yeye na hata kuwapelekea mabarua mabalozi juu ya wale waliopo nje ambao wanajiona wamefika ,ikiwa leo USA inawarudisha wakimbizi waliofanana nao kwa rangi itashindwa kuwarudishwa wanaofanana na kiza.
Mkuu Kichwani uu mzima kweli??Amewanyoosha
Mumenyooka ndio maana kilio kimezidiMkuu Kichwani uu mzima kweli??
Umbea, udaku na uchawi.Utaje huo udhaifu wangu kama nilivyotaja udhaifu wa Samia.
Amewanyoosha kina nani watu wameanza kuchungulia hadi chumbaniAmewanyoosha
No Big NO , sio kashindwa ,yeye sio kama Magufuli ,Magu aliwafukuza waliokuwa wazito waoga magoigoi ,SSH ni mbinadamu ila ubinadamu wake unawafanya aina zenu mumuone dhaifu , na alichotumia ni kuwaaminisha walio katika ngazi za kuwajibika wasiogope watumie nyadhifa zao kujibu mapigo ,bila ya kumsubiri yeye na hata kuwapelekea mabarua mabalozi juu ya wale waliopo nje ambao wanajiona wamefika ,ikiwa leo USA inawarudisha wakimbizi waliofanana nao kwa rangi itashindwa kuwarudishwa wanaofanana na kiza.
Lile ni swala dogo ambalo halikuoaswa hata kulitolea kauli, ungeacha wasaidizi wa deal naloUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Anasema, 'walishaharibu kwao', 'walishavuruga kwao' wanataka na kwetu watuvurugie, 'nchi iliyobaki na amani ni Tanzania tu', ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Nyie mnaojiseshe humuAmewanyoosha kina nani watu wameanza kuchungulia hadi chumbani
msimpangie ile ni sauti ya mamlakaUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Anasema, 'walishaharibu kwao', 'walishavuruga kwao' wanataka na kwetu watuvurugie, 'nchi iliyobaki na amani ni Tanzania tu', ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Pia soma > Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Kwa nini awe misleaded?Kutokujua kama wanaokushauri wanakupotosha huo ndiyo udhaifu namba moja.Maza hana tatizo ila Washauri wake huenda ndiyo wana mmis lead!
Bado Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri.