Kwahiyo wakenya ndiyo wanakwenda mpaka Mbeya kuteka watu huku vyombo vya ulinzi vikiwa vimelalaanasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu anaatuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Hii nayo ni swala la kufikirisha na linasikitishaKwahiyo wakenya ndiyo wanakwenda mpaka Mbeya kuteka watu huku vyombo vya ulinzi vikiwa vimelala
🤔Kwahiyo wakenya ndiyo wanakwenda mpaka Mbeya kuteka watu huku vyombo vya ulinzi vikiwa vimelala
Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani, anasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu watuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayole
Huyo mzanzibar ni kilaza pro max na ndo maana hajiamini tena kusafiri kwenda kwa wazunguUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani, anasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu watuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Ushawahi kumweka kati mwanamke aliezingua bila Shahidi kisha watu wakakukuta unampa kisago bila kujua chanzo unajua cha kwanza ni kukuvamia wewe na kukwambia acha kumpiga ila watu wakukute wewe unapigwa na mwanamke na amekuzingua yeye hakuna atakaeingilia wengi watakuona wewe bwege fala unapigwa na mwanamke?Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Magufuli aliwaambia wakuu wa vyombo kabla ya kufarikia SAMIA asipewe nchi, naanza kumuelewaUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani, anasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu watuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
"WANAWAKE NI MASHETANI"Samia ana roho ya kishetani!
Amewakomesha.Kama vipi kuwa Kiongozi wewe uoneshe ujasiriUongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani, anasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu watuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Unaweza kwenda silaha yako mpaka sudani we tanzania kuteka wasudani.Kwahiyo wakenya ndiyo wanakwenda mpaka Mbeya kuteka watu huku vyombo vya ulinzi vikiwa vimelala
Ni uongo hao wakenya hawajavuruga kwao?Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Anasema, 'walishaharibu kwao', 'walishavuruga kwao' wanataka na kwetu watuvurugie, 'nchi iliyobaki na amani ni Tanzania tu', ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Ongeeni yote ila Mama ni rais hadi 2030.Magufuli aliwaambia wakuu wa vyombo kabla ya kufarikia SAMIA asipewe nchi, naanza kumuelewa
Wewe hapa tu JF umeshaonyesha madhaifu kibao tu kiasi kwamba kama isingekuwa kuhitajika kwa bando lako mods wangekuwa wameshakufutilia mbali; itakuwa kwa Samia anayeongoza nchi kubwa kama hii?!!!! Madhaifu anayo, kama binadamu wengine, lakini ni jambo jema kuwa ameonyesha umahiri mkubwa sana katika kukabiliana nayo.......nampa 5 katika hilo.Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri jeshi mkuu, kaonyesha hana uwezo wa kutunza siri moyoni, ana roho nyepesi, ilikuwa nusura alie, sikiliza aliposema mimi ndiye amiri jeshi mkuu.
Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani, anasema, kwao wamevuruga wanataka na kwetu watuvurugie, ina implicate, kama Ruto kashindwa kuwadhibiti yeye anaweza.
Tusiwasingizie sana washauri wake inawezekana udhaifu uko kwake wa kuchambua anayoletewa.
Kamkomesha nani au ame expose kiwango cha uwezo wake.Amewakomesha.Kama vipi kuwa Kiongozi wewe uoneshe ujasiri
Utaje huo udhaifu wangu kama nilivyotaja udhaifu wa Samia.Wewe hapa tu JF umeshaonyesha madhaifu kibao tu kiasi kwamba kama isingekuwa kuhitajika kwa bando lako mods wangekuwa wameshakufutilia mbali; itakuwa kwa Samia anayeongoza nchi kubwa kama hii?!!!! Madhaifu anayo, kama binadamu wengine, lakini ni jambo jema kuwa ameonyesha umahiri mkubwa sana katika kukabiliana nayo.......nampa 5 katika hilo.