Rais Samia kaonesha udhaifu kwenye uongozi kushambulia wanaharakati kutoka Kenya

Speech yake ni kama aliilenga Kenya directly kitu ambacho ni hatari kwenye mahusiano na nchi jirani.
Kenya wanatusaidia kukuza demokrasia yetu ili tusifike huko walikowahi kufika wao!
Huwezi kulinganisha demokrasia ya Kenya na ya Tanzania hata kdg! Kenya wameshatoka ktk utwana!
CCM wanatakiwa kutambua kuwa wanachodai CDM hata wao wangedai kama wangekuwa wapinzani!
Sidhani kama CDM watalaumiwa kwa baya lolote bali CCM tujitathimini sana na mienendo yetu.
 
In a summary, alikua anatoa mipasho. Watu wa pwani hao
 
Wasted sperm
 
kwenye siasa nako kuna wachambuzi wa hapa na pale kama kwenye kabumbu.
 


Wewe nawe nadhani siyo mzima.

Hivi kuteka na kuua wanaomkosoa ndiyo ubinadamu?

Huyu ni muuaji mkubwa kwa tamaa ya madaraka, hana ubinadamu wowote.

Huko mbeleni, lazima huyu atakuja kujulikana kama kiongozi aliyekuwa katili kuliko wote tuliowahi kuwa nao.

Idadi ya waliotekwa, kuuawa na kujeruhiwa kwa sababu ya kumkosoa, haiwezi kufikiwa hata na ile ya mtangulizi wake. Mtangulizi wake alikuwa na udikteta, lakini huyu amekubuhu katika uovu wa kila aina.
 
Lile ni swala dogo ambalo halikuoaswa hata kulitolea kauli, ungeacha wasaidizi wa deal nalo

Tatizo la viongozi wa ccm wana elimu na hawajaelimika. Uwingozi ni hekima sio vyeti
 
Hakuna wanaharakati ,wote unaowaona na kuwasikia ni mamluki. Walikuwa wanatuona watanzania wapoooulee.
Na wakileta za kuleta hata hawa walioingia na tunawaona hawana vibali vya kuhudhuria kwenye mahakama .
 
msimpangie ile ni sauti ya mamlaka
 
Maza hana tatizo ila Washauri wake huenda ndiyo wana mmis lead!
Bado Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…