Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Rais alitumiwa barua kuwa kuna janga litatokea au ni jambo limetokea tayari akiwa safarini? Au mlitaka kumwona Rais nae akishika nyundo kusaidiana na vikosi kuokoa watu? Ingekuwa busara tungeona Mbowe na genge lake wamejitokeza kuokoa watu pale.
 
Rais alitumiwa barua kuwa kuna janga litatokea au ni jambo limetokea tayari akiwa safarini? Au mlitaka kumwona Rais nae akishika nyundo kusaidiana na vikosi kuokoa watu? Ingekuwa busara tungeona Mbowe na genge lake wamejitokeza kuokoa watu pale.
Angebaki kuonyesha kuguswa, na kufuatilia kila hatua ya uokoaji
Sasa atafanyaje hayo matamasha na wakati Raia wanakosa oxygen, familia za wahanga zinaomboleza
 
Angebaki kuonyesha kuguswa, na kufuatilia kila hatua ya uokoaji
Sasa atafanyaje hayo matamasha na wakati Raia wanakosa oxygen, familia za wahanga zinaomboleza
Rais ana taarifa nyingi kuliko wewe. Anajua anachokifanya kwa maslahi ya umma. Huo ushauri wako mpe Mbowe.
 
Rais ana taarifa nyingi kuliko wewe mpuuzi mmoja. Anajua anachokifanya kwa maslahi ya umma. Huo ushauri wako mpe Mbowe.
We jinga tu
Mbona unataka kujifanya kama Rais ni mali yako tu na machawa wenzako
Rais ni WA kwetu sote laZima tutor maoni yetu
Usitake kutufanya kama Rais Samia hatuhusu anakuhusu ww pakee
 
Watanzania hata kama uchawa not to thia extent...mnamtetea maza kwa kua hawapo ndugu zenu mule eti?!!
Hivi rais anaondokaje ktk hali kama hii angefiwa na mzazi wake angesafiri?mwanawe au mkwewe?!
Hivi mnachukulia poa hili tukio eehh...
Wehu ninyi
 
Tanzania Kuna majanga gani Hadi Rais asisafiri au akatize safari? Wacha kuwa mjinga basii.

Mama unguruma huku akili za kijinga waachie wajinga πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCeJVjNC4NK/?igsh=bDQyNzJxenFyMjJw
 
Unazingua muda wa maombolezo usitukete
Boya kweli,mnaomboleza nini? Kila siku ajali zinatojea za magari na kuua makumi ya watu ila hao Wachache wa hapo ndio umeona mnaomboleza yanafaa au? Wacha upuuzi,hiyo ni ajali kama ajali nyingine na Wala Haina maafa.

By the way Mwenyekiti wa kamati ya maafa ni PM yupo huko na Wajumbe wake,Rais aje hapo Kufanya nini xaidi ya kusubiria utakelezaji wa maagizo? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCd9-j_NZNk/?igsh=aHphcGs2dTMzcG9l
 
We jinga tu
Mbona unataka kujifanya kama Rais ni mali yako tu na machawa wenzako
Rais ni WA kwetu sote laZima tutor maoni yetu
Usitake kutufanya kama Rais Samia hatuhusu anakuhusu ww pakee
Kutoa maoni ni sawa haki yako ila yakiwa maoni ya kipumbavu lazima tuyapinge.
 
Kwaiyo ajali ya kudondoka jengo la gorofa ikiwemo bidhaa, wateja na wauzaji unailinganisha na ajali ya bodaboda

Rais angebaki kuonyesha kuguswa na maisha ya raia wake
Wewe chawa ya Nini ujifanye Rais ni mali yako
Rais ni wetu sote uache tukosoe
Wote tunampenda Rais wetu, acha kiherehere
 


Yule ni Rais wake
So usimpangie kitu gani cha kufikilia Kwa Rais wake

Wewe aendelea kufikilia Kwa upande huo na yeye mwanche afikilie Kwa upande mwingine wa kuona haikuwa sahihi Rais kuondoka

Ndio maana hata mmoja wa waadhirika alisikika akisema Apigiwe simu Rais ili waokolewe

Kwani alikuwa hajui kuna mkuu wa mkoa na kamati ya maafa?
 

 

Attachments

  • 5875548-835cd6e254b07fcba2711d2f6a208ba.mp4
    22.1 MB
nadhani marekani limetokea tukio kama hilo,

Rais Joe au Trump akafanye nini eneo la tukio na uokoaji unaendelea?

Obama akiwa Rais wa USA akiwa kwenye tukio kama la kariakoo
 

Attachments

  • Screenshot_20241117-170133_Samsung Internet.jpg
    246.8 KB · Views: 2
Serikali makini hata maisha ya binadamu mmoja Yana thamani kuzidi kila kitu

Kama unabisha mteke raia wa Russia hata dakika uone serikali makini zilivo Kwa raia wao
Hiyo serikali makini ambayo maisha ya mtu mmja Yana thamani I kushinda Mamilioni ni ya Nchi gani?

Kwani yetu sio makini?
 

Hata mwenyewe Rais akisoma huu uzi wako atashangaa Sana kama kuna chawa wake anaweza kuandika hivi

Mambo mengine ni Bora kukaa kimya Tu

Kujifanya unatetea kwenye mambo kama haya ni ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…