Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Kusafiri umefika mbali ,Kuna vyeo vingeondoka hapo mapemaMagu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na ratiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusafiri umefika mbali ,Kuna vyeo vingeondoka hapo mapemaMagu asingesafiri ninauhakika 200000% yule baba kwanza hakua na ratiba za misele ya nje kwahio hio ratiba isingekuwepo pia
Rais alitumiwa barua kuwa kuna janga litatokea au ni jambo limetokea tayari akiwa safarini? Au mlitaka kumwona Rais nae akishika nyundo kusaidiana na vikosi kuokoa watu? Ingekuwa busara tungeona Mbowe na genge lake wamejitokeza kuokoa watu pale.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Angebaki kuonyesha kuguswa, na kufuatilia kila hatua ya uokoajiRais alitumiwa barua kuwa kuna janga litatokea au ni jambo limetokea tayari akiwa safarini? Au mlitaka kumwona Rais nae akishika nyundo kusaidiana na vikosi kuokoa watu? Ingekuwa busara tungeona Mbowe na genge lake wamejitokeza kuokoa watu pale.
Rais ana taarifa nyingi kuliko wewe. Anajua anachokifanya kwa maslahi ya umma. Huo ushauri wako mpe Mbowe.Angebaki kuonyesha kuguswa, na kufuatilia kila hatua ya uokoaji
Sasa atafanyaje hayo matamasha na wakati Raia wanakosa oxygen, familia za wahanga zinaomboleza
We jinga tuRais ana taarifa nyingi kuliko wewe mpuuzi mmoja. Anajua anachokifanya kwa maslahi ya umma. Huo ushauri wako mpe Mbowe.
Kweli..Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Tanzania Kuna majanga gani Hadi Rais asisafiri au akatize safari? Wacha kuwa mjinga basii.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Tanzania Kuna majanga gani Hadi Rais asisafiri au akatize safari? Wacha kuwa mjinga basii.
Mama unguruma huku akili za kijinga waachie wajinga 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCeJVjNC4NK/?igsh=bDQyNzJxenFyMjJw
Boya kweli,mnaomboleza nini? Kila siku ajali zinatojea za magari na kuua makumi ya watu ila hao Wachache wa hapo ndio umeona mnaomboleza yanafaa au? Wacha upuuzi,hiyo ni ajali kama ajali nyingine na Wala Haina maafa.Unazingua muda wa maombolezo usitukete
Kutoa maoni ni sawa haki yako ila yakiwa maoni ya kipumbavu lazima tuyapinge.We jinga tu
Mbona unataka kujifanya kama Rais ni mali yako tu na machawa wenzako
Rais ni WA kwetu sote laZima tutor maoni yetu
Usitake kutufanya kama Rais Samia hatuhusu anakuhusu ww pakee
Kwaiyo ajali ya kudondoka jengo la gorofa ikiwemo bidhaa, wateja na wauzaji unailinganisha na ajali ya bodabodaBoya kweli,mnaomboleza nini? Kila siku ajali zinatojea za magari na kuua makumi ya watu ila hao Wachache wa hapo ndio umeona mnaomboleza yanafaa au? Wacha upuuzi,hiyo ni ajali kama ajali nyingine na Wala Haina maafa.
By the way Mwenyekiti wa kamati ya maafa ni PM yupo huko na Wajumbe wake,Rais aje hapo Kufanya nini xaidi ya kusubiria utakelezaji wa maagizo?
Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
200 umewatoa wapi? Unaongea idadi kwa maslahi ya nani? Mwisho hata wangenasa buku ,kazi za Uokoaji zinaendelea na kumbuka Tanzania Ina watu zaiidi ya mil.65 😂😂😂👇👇Sikujibu tena
Nimeamini kuwa wewe ni chizi
Yaani zaidi ya Watanzania 200 wamenasa kwenye kifusi wanaomba msaada, na Sasa yamepita masaa zaida ya 48
Af wewe jinga unasema ka ajali
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada
.![]()
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa![]()
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
nadhani marekani limetokea tukio kama hilo,
Rais Joe au Trump akafanye nini eneo la tukio na uokoaji unaendelea?![]()
200 umewatoa wapi? Unaongea idadi kwa maslahi ya nani? Mwisho hata wangenasa buku ,kazi za Uokoaji zinaendelea na kumbuka Tanzania Ina watu zaiidi ya mil.65 😂😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCeAX16sAB8/?igsh=MXUzNXRnamU3cXEzYw==
Hiyo serikali makini ambayo maisha ya mtu mmja Yana thamani I kushinda Mamilioni ni ya Nchi gani?Serikali makini hata maisha ya binadamu mmoja Yana thamani kuzidi kila kitu
Kama unabisha mteke raia wa Russia hata dakika uone serikali makini zilivo Kwa raia wao
Rais na kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ndie kiongozi wa kwanza kutoa pole,
na ndie ambae maagizo na maelekezo yake yanatekelezwa hivi sasa na kamati ya maafa kitaifa chini ya waziri mkuu.
Gentleman,
Kwa akili zako timamu kuna muujiza gani anaweza kufanya zaidi ya kiwango hicho cha juu sana cha uwajibikaji, kujali na ungwana kwa wahanga wa kuporomoka kwa jengo kariakoo?
umetoka wapi kwanza gentleman leo?
Kuna ajali zinapoteza makumi kwa mamia ya waTanzania, kazi yako huwa ni kuforwad picha na video mbaya mbaya tu, leo hii hiyo huruma umeitoa wapi mnafiki na jeuri mkubwa wewe? Hebu nenda ukatubu?
Mwenyezi Mungu atujaalie subra wakati zoezi la uokoaji likiendelea kwa umakini na weledi mkubwa. Mungu atuonyeshe njia 🐒