Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Wewe huna uchungu maana aidha ulizaliwa bila mama wala baba ulijizaa na huna ndugu wala jamaa au huna uwezo wa kuwa na watoto na huna uzazi

Sitokujibu maana kuna watu wapo chini ya vifusi halafu unaongea ujinga tu hapa nakuombea huu mwaka usiishe na wewe utakua chini ya kifusi tu!!
 
Yaani mjenge nyumba chini ya viwango, halafu rais asifanye majukumu yake?

duh, kwa hiyo raisi wa nchi hana jukumu la kuhakikisha nyumba zinajengwa kwa kiwango kilichowekwa na serikali anayoiongoza? kweli mmelewa power, kazi ipo …
 
Wiki kadhaa zilizopita tuliarifiwa kuwa, ziara ya kwa Slow slow imeahirishwa kwa sababu Wenyeji walikua wamekubwa na Tetemeko, hivyo wenyeji wote walikua bize na hilo.
Pray for kkoo
 
Ukifuatilia sana bajeti ya serikali utaona kabisa kwamba imejikita kwenye usalama na hadhi ya viongozi (state security) BADALA ya HUMAN SECURITY!
Yaani viongozi wanajijali na kujilinda wao kwa bajeti kubwa kuliko inayoelekezwa kwa wananchi!
Hawaogopi kwenda na magari yao ya kifahari kuhutubia au kukaa front seats kwenye maeneo ya majanga na misibani!

Fuatilia social nets kwa karibu utaona kwamba ofisi ya Rais Ikulu inamposti Samia akiwa safarini Brazil kuliko inavyoposti janga la Kariakoo.
 
Huo mwaliko ni mkubwa sana hawezi kuacha kwenda lakini nchi ina viongozi wengine amnao wanafanya kazi nzuri mno hadi sasa
Nakumbuka aliyekuwa Rais wa Nigeria Babangida, kuna janga lilitokea akiwa ndiyo kwanza ameanza ziara hapa Tanzania, alikatiza ziara, na kurudi kwao mara moja! Viongozi wengi tunawaona wakifanya hivyo, wakithibitisha kuwa wao ni WAFARIJI wa watu wake! Bado utasikia 'MAMA, MAMA, MAMA'!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Huyu bibi ahambuliki!
 

Attachments

  • IMG-20241117-WA0004.jpg
    125.1 KB · Views: 1
  • IMG-20241117-WA0003.jpg
    59.6 KB · Views: 1
  • IMG-20241116-WA0039.jpg
    160.8 KB · Views: 1
  • IMG-20241116-WA0038.jpg
    139.1 KB · Views: 2
Kina mama ndivyo wameumbwa na hulka hiyo ya kutojali, pigia mfano hata kwa mkeo je anakujali vile unavyomjali na kuhutekelezea shida zake?
 
Apa ndo ile kauli ya kua naongea kama amiri jeshi mkuu inge itajika, kuwaamuru wanajeshi wa dar kambi zote wakaongeze nguvu pale. Na polisi wote , kikosi cha uokoji pekee hakitoshi
 
Hapana,huwezi kujua maana hata wazanzibari pia wapo kariakoo,hajaja kuchuma ndivyo nchi ilivyo bro,viongozi wetu hutoka pande 2 za muungano
Kabla ya kunijibu ulipaswa kumfahamu kuwa:-
1. Mtanganyika haruhusiwi kugombea hata ujumbe wa serikali za mtaa kule Zanzibar.

2. Mtanganyika haruhusiwi hata kumiliki square metre mbili ya ardhi kule Zanzibar.

Upo hapo??
 
acha unafiki wewe, unamlilia nani? Umesikia rais kazi yake kuokoa watu? Kwanza Rais akienda hapo itasababisha usumbufu mkubwa kutokana na ulinzi, na kama rais akifanya kazi ya vingozi wake basi hao viongozi waanye kazi gani? PM anatosha kabisa kwa hili
 
Mbona mnapokea ruzuku za miaka ya nyuma hamsemi mnachuma, acheni Lugha za ubaguzi Mnatia aibu sana
Rusuku na utaifa wapi na wapi?

Samia siyo raia wa Tanganyika, ni mzanzibari. Kwani hujui hili?

Kaja bara kuchuma. Inakuuma hii?


Wewe na komwe lako ukienda Zanzibar:-
1. Huruhusiwi kugombea hata ujumbe wa serikali ya Kijiji.
2. Huruhusiwi kumiliki ardhi hata miguu miwili.
3. Huruhusiwi kufanya kazi hata ya ufagizi.

Huo siyo ubaguzi, tena uliohalalishwa kikatiba kabisa??
 
Mama atajitahidi kuboresha jeshi la uokoaji kwa vifaa vya kisasa hata asingekuwepo kazi inaendelea rais ni taasisi
 
Majungu wametokea Mheshimiwa akiwa tayari kwenye ndege akikaribia kutua huko alikoenda, ulitaka amwambie rubani ageuze ndege irudi bongo?.

Kuna wasaidizi wengi tu wenye kulipwa mishahara kwa kazi ya kumsaidia mheshimiwa Rais.
 
Zanzibar ina watu milioni moja sawa na wilaya ya kinondoni hapa Dar, wewe unawashwa nini utoke huku bara uende kugombea udiwani huko visiwani wakati umeacha ardhi ya hekari laki tisa?.

Ubaguzi huwa unaziumiza nafsi zenu, JPM alibaguliwa kwa usukuma wake Chato pakaonekana sio sehemu ya Tanzania leo kaja Samia nae anaitwa sio mtanzania.

Akili za kibaguzi za namna hii huwa tunaziombea kila siku tunapopiga magoti makanisani.
 
Mkuu nchi hii haina rais; inaj8endesha yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…