Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani wameshindwa kujizuia.
Ni dhahiri mama huyu, katika makubwa anayoyafanya ya kiafya, elimu, barabara nk, maji ameyapa sana kipaumbele.
Maji ni uhai, maji ni baraka, maji ni utu ndo maana hata uumbaji wa viumbe una mchango mkubwa wa maji. Maji ni ulinzi na usalama ndo maana hata wachawi huyaogopa maji.
Mama ameamua kuzifuata baraka za kweli, baraka za watanzania halisi, baraka hizi zinaweza kukausha mate ya wenye chuki na wivu na fitna na hatimaye wasiweze tena kunena chuki zao zilizojaa uwongo na hadaa.