Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani wameshindwa kujizuia.

Ni dhahiri mama huyu, katika makubwa anayoyafanya ya kiafya, elimu, barabara nk, maji ameyapa sana kipaumbele.

Maji ni uhai, maji ni baraka, maji ni utu ndo maana hata uumbaji wa viumbe una mchango mkubwa wa maji. Maji ni ulinzi na usalama ndo maana hata wachawi huyaogopa maji.

Mama ameamua kuzifuata baraka za kweli, baraka za watanzania halisi, baraka hizi zinaweza kukausha mate ya wenye chuki na wivu na fitna na hatimaye wasiweze tena kunena chuki zao zilizojaa uwongo na hadaa.
Lingusenguse hakuna maji Safi na salama
 
Hii ni Aibu na Laana, yani tangu uhuru 1961 mpaka leo bado tunaongelea suala la Maji?Kweli? Afrika tunashida gani?
 
Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata nilipofungulia kituo cha CHADEMA TV nao nikakuta wanarusha habari ya uzinduzi wa mradi wa maji yaani wameshindwa kujizuia.

Ni dhahiri mama huyu, katika makubwa anayoyafanya ya kiafya, elimu, barabara nk, maji ameyapa sana kipaumbele.

Maji ni uhai, maji ni baraka, maji ni utu ndo maana hata uumbaji wa viumbe una mchango mkubwa wa maji. Maji ni ulinzi na usalama ndo maana hata wachawi huyaogopa maji.

Mama ameamua kuzifuata baraka za kweli, baraka za watanzania halisi, baraka hizi zinaweza kukausha mate ya wenye chuki na wivu na fitna na hatimaye wasiweze tena kunena chuki zao zilizojaa uwongo na hadaa.
Umeandika kweli tupu
 
Amepeleka maji au mabomba?Toka mwenge au kiongozi alipozindua maji yemetoka mara ngapi?
 
Kwa watu kama wewe mleta mada,Wazungu ni sahihi kutuita Nyani.

Jiji la Dar es salaam tu lina maji ya mgao huko vijijini ndio janga kabisa maji ni shida. Ila mazwazwa kama ninyi sijui mnatumia makalio kufikiri..!!!!

Mnacho wazaga ni uchawa na kujikomba komba kwa wakubwa.

Damn fool.
 
Uongo , jana taarifa ya habari ya jana angalia mahali fulani geit wanafukuzwa kutumia chem chem ya maji na mmiliki haya hayo maji yenu ya ccm ndio chem chem au ???
 
Mm sio chadema na siwezi kuwa chadema ila kwenye ukweli sema ukweli maji yapi hayo unayosema labda tuanzia hapa maana kama ni maji haya ya kunywa na matumizi bado kuna sehemu wanatumia maji wanayokunywa wanyama. Siongelei ushabiki yapo maeneo kibao hakuna huduma za maji na hawatarajii kupata leo au kesho hayo maji ya samia labda yale tunayojua yanatoka kwa kila mwanamke
Toa upuuzi wako hapa,Kwa hiyo hicho kinachooneshwa sio maji ni mkojo au?
 
Msakuzi tu huku maji hawana

Ova
Sio lazima Kila Kijiji Kila mtaa kuwe na maji.

Wengine wangefanya Kwa Kasi kama Samia basi saizi ingekuwa maji Kila sehemu ila hao wengine hasa Mwendazake hakuna kitu alifanya kwenye issue ya Maji.
 
Kwanza aibu mpaka karne hii mnazungumzia maji,sijui kujenga vyoo vya mashule...nk

Ova
 
Back
Top Bottom