Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

Uchawa mtupu,tunajua hii so kweli,mbona kijikini kwangu maji hamna?Mnaosha kisicho oshesha,it is over,Samia ajitafakari,hatoshi kabisa.
 
Hakuna chenye anafanya zaidi ya kuuza Tanganyika
 
Nani atakuelewa wakati kitovu cha usalama wa nchi yetu kumeuzwa kwa waarabu milele? Watanzania wanapiga kelele kila kona arekebishe hivyo vifungu vya mkataba na DP World kwa usalama wa nchi na yeye amekaa kimya?😩
Bora tukose maji na kutegemea ya visima na kutiririka kwa Mito kikubwa kama miaka yote kuliko kuruhusu hili.
Tunawachukia wote walioshiriki katika hili
 


Miaka 60 ya Uhuru tunapambana na huduma ya maji inchi zima

Ila kiongozi anaweza kutembea na gari ambayo gharama yake ni huduma ya maji Kwa wilaya au mkoa wake

Africa ni Africa tu
 
Aisee,hata aibu huna,ukombozi upi,kutoa bandari zetu kwa Waarabu bure.
Sisi tunazungumzia ukombozi wa Maji,Afya nk Bandari zenu nenda kadai Kwa Waarabu.

Samia ndio mkombozi wa Tanzania hii ,hayo makelele yenu ya kijinga kasimulianeni chumbani.
 
Nyie ndo mnaomharibu kichwa Bitozo
 
Toa upuuzi wako hapa,Kwa hiyo hicho kinachooneshwa sio maji ni mkojo au?
Unajieleza sana unatumia nguvu kubwa kujibu kila comment watu wanaona alichoweza samia ni kuingia mikataba ya hovyo na kuleta madeni ya ajabu ajabu. Kiongozi anaefanya anaonekana na hawezi tumia nguvu kubwa kuonyesha nn kafanya.
 
Hio mida ya kupiga Propaganda (kama mtu anamaji basi anajua kwamba maji yameletwa ila kama hana maji anajua nyie ni watu wa blah blah blah) na hata ukimwambia vya ukweli anajua ni kasumba yenu ya Propaganda

 
Gongo la Mboto hakuna maji ya bomba
Gomz ipi hio hamkufikiwa ya Mradi wa Pugu enzi za JPM....sisi tangu JPM amtimue yule jamaa aliekua ana mmendea Jokate tuna maji safi na salama.
sema alivyoleft tu na mradi uka rest in peace pia.
Nway Poleni sana.
 
Nimpongeze lakini waziri akumbuke DSM bado kuna maeneo hayana maji kama Mbezi msumi na kwingineko. Wananchi wa maeneo haya wanataabika hadi utawaonea huruma kwani hata barabara ni vumbi la kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…