Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Yaani hii nchi inabidi uwe kama Samia, unafunga masikio and unafanya mambo yako unasonga mbele, watu walalamishi sana, hasahasa hawa wa Ufipa, wanapinga kila kitu, nadhani lile jina "Wapinga maendeleo" linawafaa sana!! Kosa kubwa la Magu lilikuwa ni kukasirishwa na hawa wahuni, hawa dawa yao ni kuwapuuza kama alivyowapuuza Samia, wakileta fyoko kutaka kuandamana na ujinga mwingine unavunja kiuno mmoja, wote wanasambaratikaEeeh mwendazake tulisema hasafiri,,, huyu wa sasa anasafiri na bado tunalalamika...
Nchi hii bhana... Bora ufanye yako tu
Mlisema JPM anapoteza image ya taifa kiuhusiano sisi wafuasi wake tulishangaa maana kikwete alisafiri mkasema nachezea pesa za walipa kadi magufuli akaja hakusafiri mkasema mkamtukana usiku na mchana Sasa Mungu amewaletea Samia anawafuta machozi kwaWatanzania tuache mizaha kwenye mambo ya msingi. Huyu anatumia pesa hovyo, anamfuta machozi nani?
Hayati Magufuli (japo sipendi kumlalamikia marehemu, maana amemaliza safari yake ya hapa Duniani), kuna maeneo alifanya vibaya sana, lakini kuna maeneo alifanya vizuri. Mazuri yake yalistahili kuchukuliwa na kuigwa, mabaya yake yalistahili kuachwa. Sasa huyu anayaacha karibia yote, machache anayoyaiga ni yale mabaya kama yale ya kubambikia watu kesi.
Unaakili za kipimbi Sana mbowe unayemtaaniMwendazake alikuwa na tatizo la kutesa wapinzani, huyu wa sasa anatapanya mali mno
JPM 15-21.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawasalimu kwa jina la TOZO - SAFARI ZIENDELEE
Sifa kubwa ya kukubalika ndani ya CCM ni kuwa mjinga, akili ndogo, elimu, mnafiki, mpiga vijembe na mwongo. Lusinde yawezekana amewashinda wenzake kwenye hayo maeneo. Watu ambao wanaweza kutoa upinzani mkali kwake ni Japipo na Msukuma...katika bunge zima ameona Livingstone Lusinde ndio anafaa kuwepo ktk msafara wa kwenda Zambia![emoji1787]
Yawezekana huna hata ABC ya uchumi. Usione kuwa hiyo ni gharama ndogo. Fikiria cummulative costs mpaka amalize muda wake, fikiria na maeneo mengine mengi ambako amekuwa na matumizi ya ovyo, weka vyote pamoja, ndiyo utaelewa umuhimu wa kupunguza matumizi kwenye kila eneo.Hapo kuhusu usafiri hata angeenda mmoja bado gharama mafuta ya atcl ingekuwa ile ile tu. Labda kwenye malazi na kula. Watanzania tuache chuki zisizo na msingi .nyie ndio mmeona hiyo safari ndio inafanya maisha ya watanzania ndio yanakuwa magumu. ????????? Au kuna lingine mnalificha huko mioyoni kwenu.
Usikonde. Iko siku watalipa.Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Dawa: Tudai kwa nguvu zote Katiba Mpya ikiwemo Tume Huru ya Uchaguzi.Hao ni wakliotajwa. Wale wa ndugu na jamaa na wapambe mbali mbali hawapungua 50.
Huyu ndie mama anasema tufunge mikanda hata buku anakata sh 10.
🤣🤣🤣tumepigwa
Anaanza kichaa kutawala anakuja taahira wewe upo tu.She is a clown.Hiyo safari ya Zambia ina maslahi gani mapana kwa Taifa?Tanzania baada ya kutawaliwa na kichaa sasa hivi inatawaliwa na tahira!🚶🚶🚶
ABC ya uchumi ulio soma ni ya kizamani sana dogo, gutuka!! yaani ulishindwa hata kuongeza na zako? tatizo la kukariri hili!!! hizo ni gharama kubwa kwako!! km kweli wewe ni mchumi....... jua kuwa, matumizi ya hovyo ni sehemu ya matumizi!!Yawezekana huna hata ABC ya uchumi. Usione kuwa hiyo ni gharama ndogo. Fikiria cummulative costs mpaka amalize muda wake, fikiria na maeneo mengine mengi ambako amekuwa na matumizi ya ovyo, weka vyote pamoja, ndiyo utaelewa umuhimu wa kupunguza matumizi kwenye kila eneo.
To become rich doesn't depend how much you are getting but how much you are saving.
Hii imenikumbusha kipindi cha JK, watu wakisikia safari ya Rais tu wanaanza kulob wawekwe na ndugu zao, ugomvi ukawa mwingi ikabidi watu wajifunze kuachiana zamu. Leo wewe na watuo kesho mie na wangu 😀.Hao ni wakliotajwa. Wale wa ndugu na jamaa na wapambe mbali mbali hawapungua 50.
Huyu ndie mama anasema tufunge mikanda hata buku anakata sh 10.
🤣🤣🤣tumepigwa
Nakumbuka ulikuwa mmojawapo mnaoimba ile kauli ya ANAUPIGA MWINGI mbona leo hivi eeh 😂!.Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Kusafiri na wazanzibari wenzakeRais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Nadhani yule ndo aliyemloga naniiii hiii ili afe achukueHuyu zezeta hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba Kumi.
Hata hivyo ameingia madarakani kwa bahati na sibu