Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Eeeh mwendazake tulisema hasafiri,,, huyu wa sasa anasafiri na bado tunalalamika...

Nchi hii bhana... Bora ufanye yako tu
Yaani hii nchi inabidi uwe kama Samia, unafunga masikio and unafanya mambo yako unasonga mbele, watu walalamishi sana, hasahasa hawa wa Ufipa, wanapinga kila kitu, nadhani lile jina "Wapinga maendeleo" linawafaa sana!! Kosa kubwa la Magu lilikuwa ni kukasirishwa na hawa wahuni, hawa dawa yao ni kuwapuuza kama alivyowapuuza Samia, wakileta fyoko kutaka kuandamana na ujinga mwingine unavunja kiuno mmoja, wote wanasambaratika
 
Mama TOZO a.k.a Mama Utalii... Lipeni Tozo watu wafanye kazi na bata.. yes hii ndo kazi na bata... 🤣
 
Watanzania tuache mizaha kwenye mambo ya msingi. Huyu anatumia pesa hovyo, anamfuta machozi nani?

Hayati Magufuli (japo sipendi kumlalamikia marehemu, maana amemaliza safari yake ya hapa Duniani), kuna maeneo alifanya vibaya sana, lakini kuna maeneo alifanya vizuri. Mazuri yake yalistahili kuchukuliwa na kuigwa, mabaya yake yalistahili kuachwa. Sasa huyu anayaacha karibia yote, machache anayoyaiga ni yale mabaya kama yale ya kubambikia watu kesi.
Mlisema JPM anapoteza image ya taifa kiuhusiano sisi wafuasi wake tulishangaa maana kikwete alisafiri mkasema nachezea pesa za walipa kadi magufuli akaja hakusafiri mkasema mkamtukana usiku na mchana Sasa Mungu amewaletea Samia anawafuta machozi kwa

Kuongeza matozo

Kusafiri Sana

Kuteuwa wasanii

Kusafiri na kundi kubwa

Kuwafunga

Hapa karma inafanya kazi ,huku ndio kufutwa machozi

USSR
 
..katika bunge zima ameona Livingstone Lusinde ndio anafaa kuwepo ktk msafara wa kwenda Zambia![emoji1787]
Sifa kubwa ya kukubalika ndani ya CCM ni kuwa mjinga, akili ndogo, elimu, mnafiki, mpiga vijembe na mwongo. Lusinde yawezekana amewashinda wenzake kwenye hayo maeneo. Watu ambao wanaweza kutoa upinzani mkali kwake ni Japipo na Msukuma.
 
Mleta mada sidhani km una akili timamu!! wabongo kwa kodi gani mnayolipa?? mnayo lilia eti kodi yenu? imetoka wapi bila Mama kutembeza kopo??!! mnamchango gani hapa Duniani nyie wabongo??

mnauza nini kwa soko la kimataifa?? mmebakia kupakuana tuuuuu!! mpaka mnaongoza kwa ukimwi Duniani ajili ya kupakuana!! wenzenu wanaongoza kutengeneza sayari za juu pawe makao bora, nyie mnalilia vikodi utoporo?

Hivi mnajua kuwa nyie ni riziki? aibu sana mpaka wazee wazima na ndevu zenu mkaombwa tako! na hao wanao wapa hela tena waziwazi mchana kweupeee eti muolewe!!! mweee! ndiyo alisema ...

waziri yulee mkuu wa Uingereza!! hapo Mkalia!! lia! weeee!!! km yatima, hata kauli hakufuta mpaka leo!! kwa nini hamkumpiga beat kali akome km mna jeuri?? sasa Mama asitembeze kopo mtakula nini?? lazima wamjue!! hao alio nao ndo atawatuma huko!!

Sasa Mama kawategea kopo weee! ili muende chooni!! na amewamegea mnaanza kulia Oooh! kodi zetu? ...zipi? km ni hela siyo zenu mnapewa! mnapokea tu bila aibu, hata hamjui zinatoka wapi mleta mada zinatoka wapi hela nijibu faster usiibie!!

Angalia , Maji, juice,nyama,ugali,nk mama weee niseme nini vyooote hivi vinatoka kwa hao!! alio enda kujinadi kwao!! bila hao kukupa mashine ya kusga unga huliiiii...... eti sasa hamtaki yaani mkiambiwa nyi ni hyawani, nyani mnalia weeeee!!

mnapokea km shoga yeyote yule alie tayari kutoa nyaa!!mbona hamkatai??! nyie mnampatia nani?? nini?? na wapi? haya basi mjitegemee! hamtaki! mwee! sasa mnahamia kwa Mama wa watu anawasaidia lengo lake ni ili

Mle!! muishi kama watu, bado mnalia lia tuuu!! kodi zenu zipi? hivi mnataka nini nyie mbwaa! lazima tu mtashikwa makalio!! mda utasema na hivi mna uchoyo na mnavopenda hela?? heeee!!

Jiwe wa watu!! aliona misaada ni ujinga huu, kizee kikapigika usiku na mchana haya ngoja tufanye kazi tujitegemee!! mme mfloatisha tena maksudi tu! huyuu mzee kalala! mlisema Oooh!! anaogopa kwenda nje! hajui kiingredha!! nyie watu???

Mwanaume kamili alikuwa Nyerere tu!! Baaasi!!! huyu alikomaa kivyake na ndg zake wa South mwanzo mwisho, na alijitegemea kwa viwanda vingi nchini, ebu fikiria mpaka nyama tulisindika zetu wenyewe!! viatu,mavi pia ilikuwa mali!! tuliuza km mbolea!

siku akishika chizi km Idd amini mtakoma
 
Hapo kuhusu usafiri hata angeenda mmoja bado gharama mafuta ya atcl ingekuwa ile ile tu. Labda kwenye malazi na kula. Watanzania tuache chuki zisizo na msingi .nyie ndio mmeona hiyo safari ndio inafanya maisha ya watanzania ndio yanakuwa magumu. ????????? Au kuna lingine mnalificha huko mioyoni kwenu.
Yawezekana huna hata ABC ya uchumi. Usione kuwa hiyo ni gharama ndogo. Fikiria cummulative costs mpaka amalize muda wake, fikiria na maeneo mengine mengi ambako amekuwa na matumizi ya ovyo, weka vyote pamoja, ndiyo utaelewa umuhimu wa kupunguza matumizi kwenye kila eneo.

To become rich doesn't depend how much you are getting but how much you are saving.
 
Ile Airbus ndio imekua ya Rais moja kwa moja siku hizi? Anyway tuendelee kulipa tozo tu mpaka wananchi tutakapojielewa ndipo wanasiasa watakapotuheshimu! Mwendazake alikua na mapungufu yake ila hakua na matumizi yasiyokua na msingi wala manufaa kwa watanzania kama haya
 
Yawezekana huna hata ABC ya uchumi. Usione kuwa hiyo ni gharama ndogo. Fikiria cummulative costs mpaka amalize muda wake, fikiria na maeneo mengine mengi ambako amekuwa na matumizi ya ovyo, weka vyote pamoja, ndiyo utaelewa umuhimu wa kupunguza matumizi kwenye kila eneo.

To become rich doesn't depend how much you are getting but how much you are saving.
ABC ya uchumi ulio soma ni ya kizamani sana dogo, gutuka!! yaani ulishindwa hata kuongeza na zako? tatizo la kukariri hili!!! hizo ni gharama kubwa kwako!! km kweli wewe ni mchumi....... jua kuwa, matumizi ya hovyo ni sehemu ya matumizi!!

hii sera ya uchumi wa hivi ilianzia Mbinguni! kwa Mungu mwenyewe!! mfano rasilimali zilizo tumika kumuumba shetani, akaishi, mpaka akashawishi theruthi tatu ya Malaika wa mbinguni pia wakahasi wakawa upande wake, ilikuwa ni hasara kwake Mungu.

Lakini Mungu hakujuta!! ukiona wewe unajutia matumizi km haya wewe ni sehemu ya shetani, kwa sababu km umeumbwa kwa mfano wa Mungu kamwe hajutii hasara! Somo la uhasibu kuna kipengele cha jinsi ya ku deal na kuipokea hasara!!! haiepukiki!!
 
Hao ni wakliotajwa. Wale wa ndugu na jamaa na wapambe mbali mbali hawapungua 50.

Huyu ndie mama anasema tufunge mikanda hata buku anakata sh 10.

🤣🤣🤣tumepigwa
Hii imenikumbusha kipindi cha JK, watu wakisikia safari ya Rais tu wanaanza kulob wawekwe na ndugu zao, ugomvi ukawa mwingi ikabidi watu wajifunze kuachiana zamu. Leo wewe na watuo kesho mie na wangu 😀.

Nchi yetu hii!!!!!
 
Back
Top Bottom