Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Kwa kwelii tujitaidi wote kubana matumizi. Sie Leo boss wetu anatuomba tupande Basi tukitumia gar ya ofisini gharama itakua kubwa halafu ukiona haya unaumia kwa kweli
 
Mlimuona Magufuli zwazwa sijui leo mnasemaje!!

That man was really a president, mzee alipokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge hatukumuelewa leo sidhani kama kuna asiyeelewa maneno ya mzee!!

Rip our president, tukukumbuka baba hata mwaka bado [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwani wanaume huwa hawakosei?

Tangu Uhuru Viongozi walikuwa wanaume na ndio wametufikisha hapa tulipo ambapo maadui bado ni walewale ujinga, maradhi na umaskini...
Nitajie kiongozi mwanamke aliyewahi kufanya makubwa ktk Dunia hii.
 
Umeona eenhh??!!!,Huyu mama hafai kabisa.
 
Ona huo msululu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuku.
Tozo Utitiri Sasa Hivi Wanakula Bata Ndani Ya Airbus

wanakula Keki Taratibu Yaani Wananchi Hoi .

Mbele Alisema Atafunga Goal Dakika Ya 89 Ndiyo Tunapigwa Na Mama!πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ€£πŸ˜…

Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Unatoka Nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…