Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Si patokee tu hitilafu huko angani asee... Tuanze kuimba zike nyimbo za juzi kati asee
Halafu aapishwe yule mhutu tena tuanze kunywa maji kwenye karai? 😂

Kuna umuhimu wa katiba mpya sijui kwanini kuna watu hawaelewi!
 
Hizi mada za kitoto za enzi za ujima ikiwa msanii diamond anaenda tour ulaya na madensa wake ana mudu gharama iweje nh rais ashindwe
Diamond naye anatumia kodi za wananchi? tena Diamond analipa kodi usimfananishe na upuuzi! ok?
 
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
Kwani msururu wa magari ya Mwendazake uliokuwa unakwenda mpaka mpakani kwa TAnzania na Rwanda ulikuwa unalipiwa kwa kodi za akina nani?
 
Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Hivi angeenda kimya kimya mngejuaje.
Jpm alikua na convoy wa watu zaidi 200 pamoja na kua ni safari za ndani gharama yake ilikua kubwa mno.
Kumbuka akitoka chato kwa barabara juu zinapita helkopta kama mbili.
Sasa mpaka afike dar ni bei gani
 
Hii imenikumbusha kipindi cha JK, watu wakisikia safari ya Rais tu wanaanza kulob wawekwe na ndugu zao, ugomvi ukawa mwingi ikabidi watu wajifunze kuachiana zamu. Leo wewe na watuo kesho mie na wangu 😀.

Nchi yetu hii!!!!!
😅😅😅na zinalipa sana. Perdiem dolla 5000 kwa kichwa
 
Hivi angeenda kimya kimya mngejuaje.
Jpm alikua na convoy wa watu zaidi 200 pamoja na kua ni safari za ndani gharama yake ilikua kubwa mno.
Kumbuka akitoka chato kwa barabara juu zinapita helkopta kama mbili.
Sasa mpaka afike dar ni bei gani
Magu ndio alikuwa mfujaji kupita wote
 
Mimi najua angepaswa kusafiri na wafanyabiashara kama kina Mo Dewj na wengine ndio hata viongozi wa nchi nyingine wanafanya Kwa ajili ya kuku- share opportunity na wafanyabiashara wa nchi anayokwenda
Ila kusafiri na Hawa jamaa wa mboga mboga sioni kama Ina mantiki
 
Back
Top Bottom