Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu hakuwa akisafiri nje mlimpomda sasa kaacha Samia msafiri naye mnamponda mnataka nini wahenga!Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Two wrongs do not make a right.Hivi angeenda kimya kimya mngejuaje.
Jpm alikua na convoy wa watu zaidi 200 pamoja na kua ni safari za ndani gharama yake ilikua kubwa mno.
Kumbuka akitoka chato kwa barabara juu zinapita helkopta kama mbili.
Sasa mpaka afike dar ni bei gani
Sidhani kwa kweli. Tokea amekuwa Rais nimekua kimya sana. Sema hili limenifanya nnisee.Yeye anatumbua tu pesa kwa matumizi yasiyokuwa ya lazima. Kulikuwa na ulazima gani wa kusafiri na watu wengi namna hii ?Nakumbuka ulikuwa mmojawapo mnaoimba ile kauli ya ANAUPIGA MWINGI mbona leo hivi eeh 😂!.
Let us be serious kwenye masuala mengine jamani, tuache chuki na uhasama usio na tija! Msafara mkubwa na watu wengi UKO WAPI!? Au sijui kuhesabu, msafara huo una viongozi SABA TU! Unajua mambo mengi yanatia kichefuchefu hata kuyasoma. Mlitaka aende mwenyewe au vipi!? Hata idadi ya wasaidizi wake ni wachache sana kama picha za mapokezi zinavyo onesha huko Zambia kwani mambo mengine yote ya ulinzi na usalama wa SSH ni kazi ya WENYEJI WAKE!Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
There are any two wrongs here! Yote yaliyofanyika yanayohusu safari hii na safari nyingine zote za Rais ni sawa kabisa. Taarifa ya Ndugu Haniu ni sawa as per protocol, ni lazima wananchi wajulishwe yote yanayojiri. Haya mengine ni ya kawaida kwa wapinzani, tumewazoea wanapinga KILA KITU kwani hawana hoja ya kuzungumzia kwa sasa.Two wrongs do not make a right.
Kinachouma zaidi huu mzigo tunaulipia sisi wahangaikaji tusio na uhakika wa kesho.Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Malkia wa Tozo anazunguka kwenye pipa tu kula tozo zenu.Ameshakuwa hasara tena
Pole sana! Sijui utahamia nchi gani ambako wakuu wa nchi hawasafiri ili ukwepe huo mzigo. Umewahi kufuatlia safari za mtoto wa Mama Ngina!? Ungekuwa huko basi ingekuwa shida zaidi ndugu yangu!Kinachouma zaidi huu mzigo tunaulipia sisi wahangaikaji tusio na uhakika wa kesho.
Barakoa kama mdomo wa batautadhani kuna kitu cha maana anafata huko zambia na barakoa yake kama mdomo wa bata
Kwahiyo malkia wa tozo kafuata maendeleo huko Zambia ?Yaani hii nchi inabidi uwe kama Samia, unafunga masikio and unafanya mambo yako unasonga mbele, watu walalamishi sana, hasahasa hawa wa Ufipa, wanapinga kila kitu, nadhani lile jina "Wapinga maendeleo" linawafaa sana!! Kosa kubwa la Magu lilikuwa ni kukasirishwa na hawa wahuni, hawa dawa yao ni kuwapuuza kama alivyowapuuza Samia, wakileta fyoko kutaka kuandamana na ujinga mwingine unavunja kiuno mmoja, wote wanasambaratika
Mama Ngina ndo nani Mkuu???Pole sana! Sijui utahamia nchi gani ambako wakuu wa nchi hawasafiri ili ukwepe huo mzigo. Umewahi kufuatlia safari za mtoto wa Mama Ngina!? Ungekuwa huko basi ingekuwa shida zaidi ndugu yangu!
Huyu naye kweli ni inchaji, sijui wa matusi au wa nini?Barakoa kama mdomo wa bata
Atakuwa Inchaji wa tozo.Huyu naye kweli ni inchaji, sijui wa matusi au wa nini?
Ingia google au Wikipedia utampata!Mama Ngina ndo nani Mkuu???
OKAtakuwa Inchaji wa tozo.
Hiyo safari mbona ya kawaida subirini akianza kupanda mambele Watabebwa watoto, wakwe, wajukuu.Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.Hiyo safari mbona ya kawaida subirini akianza kupanda mambele Watabebwa watoto, wakwe, wajukuu.
Mshauri wake ndiye tatizo na si yeye.Sidhani kwa kweli. Tokea amekuwa Rais nimekua kimya sana. Sema hili limenifanya nnisee.Yeye anatumbua tu pesa kwa matumizi yasiyokuwa ya lazima. Kulikuwa na ulazima gani wa kusafiri na watu wengi namna hii ?
Ndio maana kaanza ku test mitambo na ma ccm wenzake ili akianza kupaa na familia watulie kimya mama anaona mbali,embu niwakumbushe enzi zile za commandor salimin Amour kila ziara za mambele alibeba ukoo mzima wa mashemeji zake wote wapo mambele waliomba ukimbizi, kwa wanzanzibar piga ua ndege ya rais samia itajaa ndugu na jamaa, note my word.Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.