Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Hivi angeenda kimya kimya mngejuaje.
Jpm alikua na convoy wa watu zaidi 200 pamoja na kua ni safari za ndani gharama yake ilikua kubwa mno.
Kumbuka akitoka chato kwa barabara juu zinapita helkopta kama mbili.
Sasa mpaka afike dar ni bei gani
Two wrongs do not make a right.
 
Nakumbuka ulikuwa mmojawapo mnaoimba ile kauli ya ANAUPIGA MWINGI mbona leo hivi eeh 😂!.
Sidhani kwa kweli. Tokea amekuwa Rais nimekua kimya sana. Sema hili limenifanya nnisee.Yeye anatumbua tu pesa kwa matumizi yasiyokuwa ya lazima. Kulikuwa na ulazima gani wa kusafiri na watu wengi namna hii ?
 
L
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.

View attachment 1905055
Let us be serious kwenye masuala mengine jamani, tuache chuki na uhasama usio na tija! Msafara mkubwa na watu wengi UKO WAPI!? Au sijui kuhesabu, msafara huo una viongozi SABA TU! Unajua mambo mengi yanatia kichefuchefu hata kuyasoma. Mlitaka aende mwenyewe au vipi!? Hata idadi ya wasaidizi wake ni wachache sana kama picha za mapokezi zinavyo onesha huko Zambia kwani mambo mengine yote ya ulinzi na usalama wa SSH ni kazi ya WENYEJI WAKE!
 
Two wrongs do not make a right.
There are any two wrongs here! Yote yaliyofanyika yanayohusu safari hii na safari nyingine zote za Rais ni sawa kabisa. Taarifa ya Ndugu Haniu ni sawa as per protocol, ni lazima wananchi wajulishwe yote yanayojiri. Haya mengine ni ya kawaida kwa wapinzani, tumewazoea wanapinga KILA KITU kwani hawana hoja ya kuzungumzia kwa sasa.
 
Yaani hii nchi inabidi uwe kama Samia, unafunga masikio and unafanya mambo yako unasonga mbele, watu walalamishi sana, hasahasa hawa wa Ufipa, wanapinga kila kitu, nadhani lile jina "Wapinga maendeleo" linawafaa sana!! Kosa kubwa la Magu lilikuwa ni kukasirishwa na hawa wahuni, hawa dawa yao ni kuwapuuza kama alivyowapuuza Samia, wakileta fyoko kutaka kuandamana na ujinga mwingine unavunja kiuno mmoja, wote wanasambaratika
Kwahiyo malkia wa tozo kafuata maendeleo huko Zambia ?
 
Hiyo safari mbona ya kawaida subirini akianza kupanda mambele Watabebwa watoto, wakwe, wajukuu.
Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.
 
Sidhani kwa kweli. Tokea amekuwa Rais nimekua kimya sana. Sema hili limenifanya nnisee.Yeye anatumbua tu pesa kwa matumizi yasiyokuwa ya lazima. Kulikuwa na ulazima gani wa kusafiri na watu wengi namna hii ?
Mshauri wake ndiye tatizo na si yeye.
👇🏾
Kumbuka kuna mtu kakaa kushoto anatoa maelekezo ya kuendesha hiyo taasisi huyo ndiye anapelekea kutuharibia nchi.

Nyakati zake zilipita hakupaswa kuwepo hata kwenye mlango wa rehema yule mtu.
 
Siwezi shangaa,maana Kama mkwe wake kateuliwa kuwa waziri ,nishangae la kusafiri na wajukuu?Cha muhimu asitupie mzigo wa kodi nyingi kwa watanzania wenye maisha ya chini.
Ndio maana kaanza ku test mitambo na ma ccm wenzake ili akianza kupaa na familia watulie kimya mama anaona mbali,embu niwakumbushe enzi zile za commandor salimin Amour kila ziara za mambele alibeba ukoo mzima wa mashemeji zake wote wapo mambele waliomba ukimbizi, kwa wanzanzibar piga ua ndege ya rais samia itajaa ndugu na jamaa, note my word.
 
Back
Top Bottom