Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi.
Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja.
Na inauma zaidi akikumbuka siku waliyokwenda uingereza wakapewa basi marais wote wa Africa wapande, ile treatment hata chawa huwa hawafanyiwi vile.