Rais Samia katembelea Marekani zaidi ya mara 2 na Hajafanikiwa kukutana na Rais wa Marekani

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi.

Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja.

Na inauma zaidi akikumbuka siku waliyokwenda uingereza wakapewa basi marais wote wa Africa wapande, ile treatment hata chawa huwa hawafanyiwi vile.
 
Wazee wetu wa zamani waliishi kwa kwenda marekani kuonana na rais?acha akili mgando inamaana sisi ambao hatujawahi kuonana na rais wa marekani hatuishi?
 
What doesn't happen speaks louder than words.
 
Wazee wetu wa zamani waliishi kwa kwenda marekani kuonana na rais?acha akili mgando inamaana sisi ambao hatujawahi kuonana na rais wa marekani hatuishi?
Wazee wako wa zamani walikuwa waganga wa jadi, hawakuwa Marais.

Hoja iliyopo ni visiting head of state kukosa kuonana na head of state mwenyeji wake, mara mbili. Wakati Mulamula akiwa FM alionana na Rais. Mama Abdu kaonana na kina Mange Kimambi na huyu Trump ndio kabisaa asahau kukaa nae meza moja
 
Na Trump hatakutana naye hadi amalize urais 2028.
 
Tatizo ziara ziliandaliwa kimchongo ili watu wapige hela, yaani hazikuwa za kimkakati kama Ruto
 
Marekani hawapendi unafiki kabisa na kudeal na watu wasiojielewa ndio kabisa hutawaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…