Rais Samia katembelea Marekani zaidi ya mara 2 na Hajafanikiwa kukutana na Rais wa Marekani

hao aliokutana nao siyo viongozi acheni kukariri
 
Ataenda sasa hv kukutana na trampo, kwa kuwa trampo amerudi madarakani basi ataonana nae. Yule bideni alikuwaga na nyodo sana. Bora trampo😆😆😆
Mama yenu anatalii tu hawezi kukutana na rais wa usa🤣🤣😂😂
 
Marekani huwachukulia marais wa nchi za dunia ya tatu sawa na magavana wao au wafanyabiasha wao wakubwa. Rais wetu anaweza akapokelewa na gavana wa jimbo fulani au mfanyabiashara mkubwa wa nchi yao na ziara ikaishia hapo bila kuonana na rais wa nchi yao. Ukiona rais wa nchi yetu kapata mapokezi makubwa huko na akapokelewa na rais wao ujue ni kibaraka wao na marekani ina maslahi makubwa nchini. Ila ni fedheha rais wetu aende katika taifa kubwa kama lile halafu asikutane na rais wa huko
 
Tatizo Nini?
 
Tatizo nini
 

Kwani alienda kufanya nini? Mbona mimi nimeenda mara mbili sijakutana hata na mlinzi wa supermarket?
 
Rais wa marekan hawez kukutana na vitu vya hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…