mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kipindi cha JK na Rasimu ya Warioba ilikuwa ni ufujaji tu wa pesa za Umma ! Au ??!!Umejitahidi kupotosha mkuu,
Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.