Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.

..suala la " kuijua " katiba iliyopo sasa hivi ni subjective.

..kwa mfano, Rais ametumia mbinu, utaratibu, na njia gani, kutambua kiwango cha uelewa wa wananchi kuhusu Katiba?

..Ni wakati gani Raisi atatoa tamko kwamba wananchi wanaijua katiba iliyopo, na wakati gani atatoa tamko kuwa wanaufahamu na katiba inayopendekezwa?

..Naamini wakati muafaka wa kutoa elimu ya Katiba ni kipindi cha KAMPENI ZA KURA YA MAONI kuhusu Katiba pendekezwa.

..Kwa msingi huo wakati wa kuandika Katiba Mpya ni sasa.
 
Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Hivi yeye alisomewa wapi Urais?
 
Lakini amejipambanua kuwa yeye ndiye atakayetuletea 'reforms'. Ahadi tupu bila mabadiliko ya kisheria ni hadaa.
Unafikri nchi inaongozwa kwa taa ya ajabu ya Aladin? Kama huielewi taa ya Aladin, bofya chini Bujibuji Simba Nyamaume alileta kisa hicho hapa JF:

Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Kwanini tusianzie pale walipoishia wakina warioba?au wao hawakukusanya maoni ya wananchi?
 
Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Kwani wananchi hawakutoa maoni yao kwa warioba?
 
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.

kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.

Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.

Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Samia ni janga, tena janga hasa! Hafai kuwa kiongozi wa nchi! Analeta mipasho ya kanga katika masuala ya uongozi wa nchi!
 
HIVI inakuaje MTU unapiga Dua Kabisa na umekaa kidini halsfu unaiba uchaguzi Kisha unaenda kuapa Kwa Dini zenu Hizo.. Ndio Maana laana haiishi mnauza visivyouzika
 
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.

kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.

Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.

Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Patachimbika
 
Sikutegemea Raisi ataiongelea issue ya katiba kirahisi hivi! Viongoz wa africa wajitahid kuwa wazalendo na wasijisau kiasi hichi, na wasidharau raia wao kiasi hichi! Bora nihamie ulaya sasa.
Yaan kaonesha kiburi cha kujikweza wazi wazi kabisa,ila viongoz wanadharau sana kwa raia
 
Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Kuhusu shule kuhusu katiba hapo Kuna walakini maana raia wengi wanadai katiba mpya kutokana na uzoevu WA utekelezaji WA katiba iliyopo, kuhusu madaraka na wajibu WA viongozi kwa nchi.
 
Umejitahidi kupotosha mkuu,

Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Kwa mfano wewe unataka elimu gani ktk hiyo katiba. Hivi elimu hii ilisubiri watu wadai katiba ndo ije itolewe, kwa nini haikutolewa hapo kabla. Katiba inayokataliwa Ina elimu gani inayohitajika.

Watu kutojua katiba ya sasa siyo jambo geni kwani bado kuna% kubwa tu ya Watanzania wasiojua kusoma na kuandika. Istoshe kupata elimu ni jambo moja na kuelewa ni jambo lingine. Kwa hiyo ndo kusema wananchi wakipewa hiyo elimu na bado wakawa hawajaelewa muda utaongezwa tena.

Janja janja za Tanzania kutoka kwa wanasiasa ndo shimo la umaskini wa watu wake.

Nchi ilitumia mabilion ya pesa kukusanya maoni ya wananchi nchi nzima, leo mtu anasema,.......
 
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.

kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.

Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.

Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
CHADEMA waje na agenda ya Katiba Mpya tuwape nchi.

Huyu mama wala hatufai
 
Elimu ikishatufikia wote tupewe mtihani, asilimia kubwa wakifeli elimu iongezewe muda.
#kaziiendelee
 
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.

kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.

Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.

Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Huyu mama yenu wamemdanganya sana hadi ame left kundi la mchele na kujiunga na Machawa wake kwenye kundi la Machuya.
Yaani yupo serious kabisa kuwa watu wakasomee na kufundishwa kitu ambacho hakipo?
 
Sikutegemea Raisi ataiongelea issue ya katiba kirahisi hivi! Viongoz wa africa wajitahid kuwa wazalendo na wasijisau kiasi hichi, na wasidharau raia wao kiasi hichi! Bora nihamie ulaya sasa.
Katiba mpya is a must, tumechoka jamani Mimi ni CCM damu damu lakini si Kwa Katiba hii ambayo Kila mtu katika eneo lake ni dictator hakuna uhuru wa kufanya Kwa kadri ya uwezo wako...No no no no...Nooooo!
 
Back
Top Bottom