econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Muda wote walikiwa wapi? Yani kusikia CHADEMA wanataka mchakato wa katiba mpya uanze wamekimbilia single ya kutoa elimu miaka mitatu.Mie japo huwa siuelewi uongozi wake ila kwa namna fulani yupo sawa maana kati ya hawa watz milioni 62 sidhani kama wenye uelewa wa katiba wanafika hata milioni 1...watu wajue hii iliopo inaupungufu gani sio kelele za katiba na wakati hawafahamu hata unahusu nini.