Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una matatizo ya ajabu. Hadi sasa naona tu huyu rais ameongeza hadhi ya Tanzania kimataifa. Tofauti na yule aliyetangulia . . .Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Mila na desturi za kabila lako ni sehemu ya mila na desturi zetu!Mila na desturi zenu ndio zipi? Katika nchi yenye makabila zaidi ya 120, dini za asili na za kuletwa. Niambie sasa ni mila n dini ipi inayo kataza mwanamke kumnywesha mwanaume asie mume wake kinywaji.
Amandla...
Mimi nimeiangalia vizuri tu na Wala haikunipa shida yoyote Ile kujuwa na kuona kuwa glasi ilibadilishwa na hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea inaonekana vyema japo kwa mtu asiye na utulivu wa kichwa hawezi kutambua na kuona tukio hilo maana limekwenda kikomandoo zaidi
Yaani unachanganya habari hata haueleweki, Sasa akina mh nchemba Tena wamefanya NiniKwa hiyo mke wa mtu ni halali kutamanisha mume wa mtu?
Awe amebadilishiwa birauli au lah, hiyo mwanamama hajafanya poa, kiongozi kama huyu ni rahisi sana kuteua wasiojua kazi kama Nchemba, matokeo tunayaona, hakika hatuna kiongozi.
Sawa mkuu, tuonyeshe picha 2,3 za marais waliopita wakimunywesha mke wa mtu juice, iwe ni waziri wake au mwanadiplomasia.Mama alimnywesha juisi ila rais wa Msumbiji alikuwa na Champaign ambayo ni kilevi ndo maana hakumnywesha. Kila baada ya hotuba ya Dhifa na tumeona mara nyingi lazima wageni waalikwa wanyweshane kinywaji kwa afya. Tusilete maneno ya kiuchonganishi na kujifanya hamjatembea wala kwenda kwenye dhifa zozote. Kama hamjafanya vyovyote hivyo bora mnyamaze.
Mbona mmeona watu wanacheza miziki humu mbona hilo hamlisemi. Mpende msimpende Samia yupo na atakuwepo mpaka atakapong'atuka muda wake ukifika.
Mbinu za ki intelligence kafanya hivyo makusudi kabisa ili kujirishisha na usalama wa anacho kunywa.Hasira za kupandishwa kwenye bus.
ngoja niishie hapa
Weka picha tuangalie vizuriSikia wewe siyo unachangia tu hapa bila kuelewa mambo, Mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kupewa nyingine na msaidizi wake, angalia mkono wa jemedari wetu Mama Samia akipokea Glasi nyingine haraka haraka na kunywa, Tanzania Ni majasusi kweliii kweliii na wasaidizi wa mh Rais wetu mpendwa wameiva kimedani na kijasusi na ndio maana unaona walivyo makini na usalama wa mh Rais wetu kwa maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania
SawaNimestuka halafu nikashangaa na bado siamini nilichokiona!
Tuchukue hatua!
Na we unakubali amekosea??Acha upotoshaji Rais Samia Suluhu amefanya kitendo cha kawaida sana tatizo huwa mpo active kusubiri amekosea wapi muamke nalo lakini hiko kitendo ni kawaida sana yani, watanzania tuache ushamba
Upo Ccm Lumumba AmaMbinu za ki intelligence kafanya hivyo makusudi kabisa ili kujirishisha na usalama wa anacho kunywa.
Haya yanawezekana tu baada ya bangi na kwa nchi maskini.Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365938
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Ndiyo Ukweli WenyeweWatoto wakukua inabidi kutulia
Huu uzi ufutwe moderator
Andika vizuriNdiyo ninyi nyani?
Wanafanana na mama yaoYaani unachanganya habari hata haueleweki, Sasa akina mh nchemba Tena wamefanya Nini