Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

[emoji58]
 

Attachments

  • 20220923_190603.jpg
    50.1 KB · Views: 1
Una matatizo ya ajabu. Hadi sasa naona tu huyu rais ameongeza hadhi ya Tanzania kimataifa. Tofauti na yule aliyetangulia . . .
 
Mila na desturi zenu ndio zipi? Katika nchi yenye makabila zaidi ya 120, dini za asili na za kuletwa. Niambie sasa ni mila n dini ipi inayo kataza mwanamke kumnywesha mwanaume asie mume wake kinywaji.

Amandla...
Mila na desturi za kabila lako ni sehemu ya mila na desturi zetu!
 
Kwa hiyo mke wa mtu ni halali kutamanisha mume wa mtu?

Awe amebadilishiwa birauli au lah, hiyo mwanamama hajafanya poa, kiongozi kama huyu ni rahisi sana kuteua wasiojua kazi kama Nchemba, matokeo tunayaona, hakika hatuna kiongozi.
 
Hapo kuna tatizo gani? Acheni mawazo machafu, watu na matusi sana..
 
Kwa hiyo mke wa mtu ni halali kutamanisha mume wa mtu?

Awe amebadilishiwa birauli au lah, hiyo mwanamama hajafanya poa, kiongozi kama huyu ni rahisi sana kuteua wasiojua kazi kama Nchemba, matokeo tunayaona, hakika hatuna kiongozi.
Yaani unachanganya habari hata haueleweki, Sasa akina mh nchemba Tena wamefanya Nini
 
Sawa mkuu, tuonyeshe picha 2,3 za marais waliopita wakimunywesha mke wa mtu juice, iwe ni waziri wake au mwanadiplomasia.
 
Weka picha tuangalie vizuri
 
Acha upotoshaji Rais Samia Suluhu amefanya kitendo cha kawaida sana tatizo huwa mpo active kusubiri amekosea wapi muamke nalo lakini hiko kitendo ni kawaida sana yani, watanzania tuache ushamba
Na we unakubali amekosea??
 
Haya yanawezekana tu baada ya bangi na kwa nchi maskini.
 
kabla sijaiona video nilikuwa nabisha na kumtetea bmkubwa.

ila baada kuitazama nimeishiwa nguvu na kauli. bmkubwa went against presidential protocols.big shame for her and us as citizen.

kumtetea huyu Mama ktk hili inahitaji ufanye hivyo huku ukiwa umejizima data kichwani.

watu wa kitengo sijui mtalizimaje hili?....mtajijua wenyewe maana miongoni mwa majukumu yenu ni kuhakikisha mnalinda image ya mkuu wa nchi na taasisi yake ya urais kwa ujumla.

wale ambao hamjaiona video, mzigo huu hapa.
watch at own risk.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…