Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Ni wazi alibadilishiwa glass. Utaona anapokea glass ambayo imejaa mwisho wa clip ukilinganisha na ile aliyomnywesha Nyusi.
Ngoja nikufafanulie. Hapo kulia kwake kuna dada kavaa kaki ndo aligonga naye glasi kisha wote kwa pamoja wakanywa. Wote wa meza Kuu aligonga nao glasi.
 
Mtoa mada umekurupuka hata kama ingekuwa hivyo ukupaswa kuongea huyo nje ya uraisi anaweza kuwa mama yako
 
Wakuu mbona mm sioni Shida yeyote hapo au nimeanza kuzeeka
 
tukirejea ule uzi wa "the dark days" yoga pengine kufanya hvyo anasababu za msingi
 
Mahusiano ya nchi yajengwe kwa kushea glass?tuache kutetea mambo ya ajabu
 
Wiki hii hii kuna mtoto wa miaka 15 amepigwa vibaya na mume wake aliyekuwa akishirikiana na mume wake. Uso wake na mgongo hautamaniki. Na ana mtoto mmoja. Bila shaka Mila na desturi za kabila lake zinaruhusu watu wazima kuoa, kuzalisha mtoto wa miaka 13. Hiyo mnaona sawa ila mnatokwa na mapovu pale mwanamke mtu mzima anapomnywesha juice hadharani kiongozi mwenzake wa kiume.
Mnasikitisha sana. Btw. Wivu kwa mke tumeletewa na wageni. Kuna makabila ilikuwa halali kulala na mke wa rafiki yako wa rika moja. Leo mnadai wivu wa kijinga ni tamaduni yetu!

Amandla...
 
Acha makasiriko maisha mafupi haya enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…